DUNIA (Ep 46)

preview_player
Показать описание
#dunia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Acha ni wape maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉, yanyi sija wai ona mutu mwenye hekima yaku hishi na mke kama manyanya namipenda sana toka drc 🇨🇩 ebu nipeni basi na mimi ata kumi tu.

Albatishabani
Автор

mungu awabariki nyote mnaofatilia kazi zetu

manyanya-yut
Автор

Sema asante mungu kwa kuimaliza January salama ukiwa na afya tele❤❤❤

NeemaEzron
Автор

Manyanya top 1 actar now here in bongo movies hahahahahah is good chukua maua bro 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

Samueljacksons
Автор

We mbona chombo ya kwenda alafu una vitu zangu kabisaa😂😂😂😅😅 wanaomkubali Mdeme weka like zake hapaa

mmmh-sw
Автор

Wote mnaongalia movie hii ya dunia Mungu awabaliki sana❤❤❤

ZuleikhaMrisho-iwcy
Автор

Tunawapenda sana endeleni Ku enjoy na Tamthilia YETU pendwa ya Dunia 🙏 ila ningependa kuwa omba mnifollow piah kwa upendo wenu ndugu zangu nyinyi ndo kila kitu kwangu🙏 Thanks all for support

Max-Nzengeli
Автор

Aki ndoa ya mdeme jameni wanataniana niaje bila ungovii😂😂😂😂😂😂😂😂jameni eti pole rafiki yangu aki surely 😂😂😂😂😂😂

GloriaMumbua-sx
Автор

ANAYEIONA HIII COMMENT MUNGU AMLINDE NA MABALAAA YA HAPAA DUNIANIIII AMPEEE MWISHO MWEMA AMEEN

KINGABUMEKAR
Автор

Mdeme ananifurahsha wallah😂😂. Vai pole mwana kuliget mumeo alikupenda lkn ukamdharau tujifunze jmn

SanjerSaimon
Автор

kama unamiin mungu ni mkubwa kuliko hiii movi gonga like hapa

NgoshaThedon-oe
Автор

Hahahah mdeme na mke wako mmetisha sana😂😂😂😂 nawakubali sana 😂

EuverusJohn-bw
Автор

Kipindi vai anaomba mwenyezi mungu amrudishie mume mda huo huo mati anaomba mwenyezi mungu amuweke manyanya kwenye maisha yake kweli hii dunia wakati kitu kipo kwako unakiona hakina thaman siku ukija kujuwa hiyo thamani unakuwa umechelewa tujifunze

msanzyahamisstv
Автор

😂😂😂😂😂😂 ila mdeme jamani, ety nimeshikwa sana 😂😂😂 jamani tunao enjoy kuiyona hii familia na vituko vyao tujuane apa 😂😂😂😂🎉

natashadaniel
Автор

Sema familia ya mndeme inanipa furaha mungu awazidishie umri 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda nyie❤❤❤

mankinishee
Автор

Wanaofurahishwa nahiyi cauple ya mdembe kama mimi wagonge like tujuwane😊😅😅

ntahomvukiyeeric
Автор

Hii inaitwa funga mwezi, asante mungu kwa kutulinda tumemaliza mwezi salama

bin-wales
Автор

Jamani Vai ndoa haijalibiwi nakitu unacho kipenda hakihitaji hasira utamkufulu mungu bule pole Yako nawapena sana washiliki wote wa sirizi ya dunia mungu awazidishie ujuzi mnatufunza mengi

CharlesPastory-dc
Автор

Ndo ivo tu mambo ya "Gusa Achia Twende Kwako" 😂😂😂🙌

allymachejo
Автор

Team dunia forever nawapenda sana❤ mwezi wa pili ukawe mwezi wa baraka kwenu nyote🙏

EvaWide