Kontawa Feat Harmonize: Binadamu (Official Audio)

preview_player
Показать описание
As much as we hate and love each other, it is often important to remember we are complex creatures. And that we are somehow connected, but also different.
To co-exist as humans can be a beautiful experience but at times challenging. Binadamu is a song that touches the street lives of co-existing with human beings and how bitter it might get as you head towards success.

Song called Binadamu
Performance by Kontawa Feat Harmonize
Prod by Chipaka & Mafia
Artwork by rc_kweka
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Anaye sema kama hiyi nyimbo ni nzuri like happ

moussa.zuba.anthar
Автор

tunasema korabo kali tujuane
1 harmonize ft marioo
2 harmonize ft kotawa
3 ibraah ft harmonize
Wapi kukali sana 🎉🎉🎉

Marombosoofficial
Автор

Kama unaamini hii ndio collabo Bora ya mwaka tokea kwa kontawa weka like hapa

mashabikiwaharmonize
Автор

Kama unakubali kuwa waimba nyimbo zinazoakisi uhalisia wa maisha ya vijana ni Harmo na huyu mwamba, drop likes here🔥🔥🔥

mrgospelizer_
Автор

Mzigo uwooo umefika adi Msumbiji uku (Mozambique) kitu kimoja matata sana ❤💯💥💥

boynhanga
Автор

Kwani watu wa kenya atuwezi pata ata 100 likes hapa ama ebu nipe like 🎉🎉🎉

GoldenMose-
Автор

Contawa yaan umeuwa kinomah na boss kubwa @harmonize konde gang for life

AbdullbassirAboud
Автор

"Na wakijisumbua kuniroga watapoteza muda kama aliye tahiri shoga..." Jeshi mtu mbadi✅

silaskalanda
Автор

@Harmonize kwahili hakuna noma ila @kontawa fanya uowe mzee yesu anakuja🐘🐘🐘😂😂😂🙌⏰

official_rich
Автор

Ah ngoma inakimbiaa sana
Ukiachia champion hilii goma jingine litampa hela na showss
Kama unakubal gonga like hapa

Ramadhaniharuni
Автор

Tembo bana we 🔥🔥🔥🔥🔥 kama unaamini nyimbo Kali gonga like hapa twendelee

EliphazBucumi
Автор

Best collaboration so far...fire 🔥 kali sana.

JumaHuseni-inwv
Автор

Toka kalemie 🇨🇩 DR CONGO one love for kontawa

RamazaniKahambwe
Автор

Kontawa ni hatari sana, mistari zake siku zote lazima ufkirie kwa makini sawa ndo uelewe anamaanisha nini... Umeua kakaangu, nakukubali sana, all the love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

maalimbaba
Автор

Timu kontawa tujuane hapa Kwa like nyingi

Kagomatz
Автор

The bigesst song of the year i can't stop lisening to this song, this is the truth❤❤❤ TAWA FT TEMBO😭😭😭 1:40

FrancisRichmond-gnci
Автор

Am in love with this song 😢😢 Daah binadamu bwana💯🔥

elijahap
Автор

Wa CONGO MPO WAPI🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉

Mnipe like zangu apa💪💪🤣🤣

cornelionfikiri
Автор

The bigesst song of the year i can't stop lisening to this song, this is the truth❤❤❤ TAWA FT TEMBO😭😭😭

FrancisRichmond-gnci
Автор

Tamu Sanaa tuwape mauwa yaoo kama umeikubali basi naomba like Zao hapo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏

FCNn