Harmonize - Wapo (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Harmonize - AfroEast

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762

#Harmonize #Wapo #Kondegang
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

This is my song!!🥺❤️
Weka like kama una mpenda Kondeboy!!
Love from Kinshasa 🇨🇩

b-raphofficiel
Автор

"Wanatamani milele wawe wao, ukijituma wanasema unashindananao" best line of the #JESHI.

jonasndembeye
Автор

2024 bado ukiisikilize unaamini Harmo katika mziki wa Tanzania amejenga legacy akiwa hai. Hatumnai mpaka mda huu🙌🙌🙌

DurahRich
Автор

Jeesshiiii kazi Kali and that's true story nmependa huu wimbo. Nkweli wapo wasio tutakia . mi napitia changamoto nyingi sana

ojb-star
Автор

My favorite artist mwenyezi mungu akuongoze
Gonga like kama unamkubali harmonize 💯💯💯

mahsoudnadra
Автор

#1 on trending toka mwaka jana kode boy for life TEMBOOO TEMBOOO TEMBOOO jeshii kama jeshii music mzur upo kode gang

ntalikimkama
Автор

Tunaosikiliza hii ngoma 2024 gonga like

MtuHuru
Автор

This is kind of music we need 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mm pacha wako toka nchi jirani KENYA cjai pewa like plz nipe ata Kama nitano nitashukuru🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪

kelvinshemsilvervoice
Автор

Tuache utan ngoma kali. Ni moto💥
Kama unaungana na mm gonga like yako hapa 🙏🙏

iampktz
Автор

Vizur sana harmonize jaman naomben ata like 60 cjawah pata ata 20 tu

sifatiiman
Автор

You've proved that msanii ni kioo cha jamii...
This will be one of your songs that will live forever after you gone.
No hard feelings since death is a fact no compromise about it.

kaloleniacrobats
Автор

Huyu ndo HARMONIZE ninae Mjua Mimi, Kiukweli Ngoma Ni Kali Sana,

KONDE GANG 4 EVERY BODY

PresenterDax
Автор

Daaah! Huyu jamaa pasua kichwa .
JESHI LA MTU MMOJA KAMA 100.

saidially
Автор

Jeshi wimbo imetulia kabisa kama umerudia gonga like💪💪

realkasisi
Автор

I don't know why people can hate this dude he sings sense stuff always, he's active, he's great he sings the reality, Danm we love you from USA 🇺🇸

DanielDePeterson
Автор

Konde likes from Kenya🇰🇪🇰🇪...acha nikuibie siri moja konde, fanya ngoma na msanii mmoja wa gengetone Kenya, itakuwa shidaaa

leejonas
Автор

Jamani naomba like, , kwa kondeboy, 💥💥💥

jimmi.
Автор

Watu Wa East Africa pitia hapa uache likes za konde boy na inspiration tosha 🔥🔥

Konde Boy to the world 🌍🌍

kevinmwangi
Автор

Ooooh Kuna watu na viatu ❤ this song 2024 mpoo

AbubakariABOUBAKARISwai
Автор

Jeshi Ukiimba wimbo hivi wallahy utazidi kua fiti cz ngoma zako nazipenda ukiziimba hivi #unatupa moyo saana sisi wanyonge..##Iko lv frm KENYA

amargamal