Darassa & Harmonize - Mazoea (Visualiser)

preview_player
Показать описание
Music by Darassa & Harmonize performing "MAZOEA", Conveys a powerful message about the strength of love and the memories it leaves behind in a relationship. The chorus reminds us that while love may fade, the habits and memories shared by lovers remain, often becoming the source of true sorrow. The song is filled with a sense of regret and carries a message of seeking forgiveness in the hope of rekindling the relationship. Audio produced by Abbah process & Visual shot by Mbongo.

Listen to Darassa on Digital Streaming:

Connect with Darassa on Social Media:

Connect with Harmonize on Social Media:

Written & Performed by:Darassa & Harmonize
+For More Information Booking Darassa:

©2024 CMG.All Rights Reserved

#Darassa #Harmonize #Mazoea
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

GONGA LIKE YAKO KAMA UMEIPENDA NYIMBO HII

Darassamusic
Автор

Kama umeona HARMONIZE na DARASSA wametendea haki mashabiki nyosha mkono

mashabikiwaharmonize
Автор

Hii ndo Bongo fleva sasa, sio yale mapiano mnacheza kama misukule, huu ndo wimbo wangu bora 2024

tanzalandtv
Автор

Kenyans mko wapi..gonga like na upeperushe bandera🇰🇪🇰🇪🙌🙌

FabbyDeyah
Автор

Dah ngoma ya mwaka asee all Tanzania like here

enocklukala
Автор

Kwani huyu darasa shekhe wake nani aliemwambia ngoma na konde lazma iwe kali kma hvi ... Maana ngoma kali

abdulhassan
Автор

bomb Harmonize from Kenya gonga like tukisonga

AfricanDallaz-ilcx
Автор

Both of them kill it much love 😍 from Kenya 🇰🇪, aki si mnipe likes ka mnaamini ❤😂

winnieamor
Автор

Darassa na jesh mukifanya mziki lazima ubambe sana maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

issaLamadhan
Автор

Ndugu zangu wakenya mbona watanzania wanapeana likes sisi hatupeani... All Kenyans🇰🇪 let's gather here.. show love and unity🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

HamisiChipotele-flxo
Автор

Mr tembo Kenya nipe likes za konde na darasa🎉.❤Mazoea

mcfabian
Автор

Kenya twakupenda sana harmonize pamoja na kiongozi wetu darasa pokeeni upendo wetu

DancanOmilo-gs
Автор

Kama umesikia konde ameuwa like kwa mjeshii💨💥💥💥

yusuphsule
Автор

Aliyerudia zaidi ya Mara moja gonga hapa ✌️✌️

BERTHERALEX
Автор

Daah! Huyo Tupac wa tz ama kweli ameangusha mistari kweli..Ngoma international...harmonize Ngoma Kali gonga likes

JOELMUSYOKA-ss
Автор

From Kenya 🇰🇪. ..weka likes za harmonize hapa

Ronikenya
Автор

DARASA DARASA DARASA NIMEKUITA MARA 3 WEWE NI MMOJA KATI YA WATU WALIO BARIKIWA KIPAJI KIKUBWA KWELI WE NI SHULE YA MUZIKI🫡🫡🫡

PerfectJbo
Автор

Nakunywa pombe nilewe, sababu ni wewe, silewi unagusa hisia sana huu mstari

Fantastic.-gmeo
Автор

Hata kama mapenzi yanakwisha kumbuka mazoea, Mzee mzima konde boy mpee like

GabrielMorara-hf
Автор

umetawala nchi kavu na umetanda moyoni ❤ embu nileteni hizo likes guyz😊

RamashaboyBakhresa