Kontawa X Harmonize : Champion remix (official Audio )

preview_player
Показать описание
#kontawa #champion #harmonize

Enjoy Champion remix

Foe Booking:kontawa
Phone: +255712 530 267

Production :
Produced by @jam_bito
Contact: +255 62 662 8068

Mixing by @mafia
Contact: +25567 753 9181
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Harmonize huyu jamaa ni fundi sana mmakonde mmoja mjini verse yake nimerudia sijui hata ni mara ngapi kama na wewe ni mwenzangu gonga like za kutosha 🔥🔥🔥🔥🔥🌟🌟🌟👏👏👏

TeneboTV
Автор

Siamini kontawa kama hadi saa hii siku inaisha bila ata like moja tu 😥😥 ila sitachoka kusema huu mziki ni mkubwa mnoo

richvannyrichie
Автор

Kama ww ni harmonize die hard fan piga like: this guy is the best lyricist🤗🤗🤔

ellymwas
Автор

Msanii mkubwa ni mkubwa tu hata tukimponda, hii nyimbo in 24 hours ipo 3 on anatuonyesha ukikaza unaweza

kdf
Автор

KONTAWA hatari....endelea kupiga hii collabo EAST AFRICA yote paka iwe anthem...
Huku Kenya njoo upige collabo na KHALIGRAPH JONES....love from Kenya.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

abujunaid
Автор

Kwa uandishi mi nimejua Konde atagusia wanaetu na sister ila konde we baba uko vzr

Ramz_fernadho
Автор

Ngoma kali san Harmonize ametisha kabisaa 🔥🔥🔥 gonga like kama umesikiliza verse ya Jeshiii

eze-bigsaambaya
Автор

Usishangae na verse ya Teacher kawaida yake

edwinfrancis
Автор

Nilipenda shigz piga music tumebaki wawili pingine kily, cheed na anje daa ila jeshiii naku follow Lubumbashi ❤❤❤❤

MalegaMalega
Автор

Nimepata nafari yakusikiza sana music 🎶 verse zote kali kabisa afu HARMONIZE nimjanja sana daaah uyu jama ashikiki tena jamani tumese tu kweli izo verse waaah kali sana ongereni sana 🔥🔥🔥🔥✌🔥🔥🔥🔥💯💪❤ CHAMPIONS 🏆 lazima ibebe tunzo

Alkibosstz
Автор

kimetimia nilichokuwa nakiwaza....this dude gonna blow up our minds..nilitaman kuona flows za harmonize kwenye hii street hit 🔥song.. CHAMPION..sema nin unyama sana umefanyika kwenye hii ngoma

daudiedsonrichard
Автор

Nimetoboa mbele ya mkubwa na tale,

Kipara na Asake wa Tandale 🤣🤣😂😂 I love this

famoustim
Автор

Wow, , , kila nilipokuwa naisikiza ngoma ili nlikuwa namiss verse ya Jeshi now u gat wot I was missing🍿🍿🍿🍿if u believe Jeshi gonna kill nipe likes🥰

sarianomesh
Автор

Nyimbo og ya kontawa na ney sikuwahi ijua mkubwa ni mkubwa tu jamaa ngoma imepenya sasa bg up konde boy hawezekaniki nimeamini

zahirrajab
Автор

Me team mondi ila kusema ukweli konde gang atuwawezii🙌

breezynnko
Автор

jeshii Verse lyrics "yee mi nimezaliwa mtwara, huko ndani ndani chitiholi nane mbere/ pengine hata bibiangu na Babu Bado wanajua rais Nyerere/ huko kwetu machawa wapo tere, waki kung'ata wanakuacha na vipele/ na sio machawa wa mjini, Hadi mtoto wa kike wanamuonea Gere/ mean sikumbuki kama MUNGU nshaa muomba utajiri/ ila kanipa kwa sababu na stahili/ busara kwangu ni jambo la Siri/ so usishangae wakinitangaza ubahuli/ yee nimetoboa mbere mkubwa na tale/ kipara na saki wa tandale/ hizi sio zama za kale/ mziki upo huru kama Kambi ya kambare/ wapiga muziki tumebaki wawili / haikua lidhiki wanangu cheed na killy / my sister Angela wame mshika akili/ WAMBIE konde Gang ni jesh la mtu mbili I'M THE CHAMPION 🎤💪💪!! LIKE NYINGI KWA

faabymusic
Автор

'Kipara na sake wa tandale, hizi sio zama za kale' music is free that's the good one👏💪✌

eliasbashange
Автор

Sasa ndo umempata mtu sahihi aliye feat vizuri kwenye huu wimbo. Harmonize 🔥🔥🔥.

hassanabdallahjienga
Автор

Imenibidi nirud kwa comment harmo kasema ya kweli na ni kwa nn mnamponda harmonize ninachojua harmo anawasumbua sana hamumuwezi harm mtateseka sana mwaka huu na Ndo mwaka unaenda kuisha ivo mwakani atawatesa mara kumi ya hapo mnamponda tuu kijana wa watu wapumbavu nyie mashabik wa harm mkono huu💪👆👆👆

feddyfeddy
Автор

Nimetoboa mbele ya mkubwa na Tale,
Na Asake wa Tandale😹😄 Harmonize 💥 Jeshii 🙌

TheAcidRay