AGANO LANGU Series EP 2

preview_player
Показать описание
Weka agano na Mungu uwe salama
#trending #bongomovies #comedy #movie
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Story imetulia sana wahusika wapo serious mwendelezo mzuri

elimanjoseph
Автор

Hii series inavutia sana jamani.... Performance iko poa story inaeleweka na Director yuko poa 💪💪💪

gandmsambili
Автор

Hahahahah, movie Kali saana jamani
Goya mbabe mpaka nyumbani umeua msela❤❤❤

ShfiiMdobi
Автор

Kwa huu ujio wa goya nagwa ajipange saana akizubaa goya atampita maana sura2 mtu anakaa bado sauti duuu motooo❤❤❤❤❤

SuddyOmari
Автор

aiesee ngoma kama mbelee ep yatatu lini jamani maana movie nikali saana unaweza sahau kula

stevenjames-gcuc
Автор

Waooo❤ nzuri Sana jamaan nime mpenda johar jini

azizaabdalah-pz