SIMBA SC (2) VS APR (0) | 🅵🆄🅻🅻 🅼🅰🆃🅲🅷 | SIMBA DAY 2024 | UBAYA UBWELA

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hapa mmenikosha sana kuniwekea full match, ningewaomba pia kama inawezekana na kama itawapendeza muweke na za mechi za nyuma hasa tulizofanya vizuri zaidi kama vile Simba vs FC Platnum, Simba vs Nkana, Simba vs Al Ahly nk. kuna watu tunazihitaji sana hizi mechi in full, najivunia sana timu yangu

jilalamaligisa
Автор

kwa hapa hogerini sana tuna shukuru, mume tuwekea full match sisi shabiki zenu kutoka CONGO 🇨🇩 tume furahi sababu hatupaye ile bahati yakuangali match ana kwa ana, ila ninge wasihi kila baada ya mechi muwe Muna tuwekea full match, nasi tuje tu enjoy Kawa wengine shukurani.
SIMBA 🦁 NGUVU MOJA
UBAYA UBWELAAAA 🦁♥️

UshindiButera-yzdu
Автор

asante kwa kutukumbuka na sisi wa mbali from kenya

james-lxrf
Автор

Hii ndo Simba yenyewe❤❤❤❤ neema zebedayo

NeemaZebedayo-ctif
Автор

Simba Sports Club is the winner.

Thanks Simba.

Simba ni Nguvu Moja

EmanuelMuna-wq
Автор

Hongeren sana kwa kila munachotupatia ❤❤❤❤ubaya ubwela

SharifuChala-izxj
Автор

Timu moja tu Tanzania simba nguvu moja ❤❤❤❤

jamesraphael
Автор

Ubarikiwe ww ndugu ulie pewa maono haya ya kuweka full match. Ww niwakujivunia axante axante.

Dastanikasanda
Автор

Hapo unyamaa Simba yangu mungu atusaidie jamaniii❤❤❤❤❤

GreysonKadege
Автор

bora mmetuekea hii maana sie wengine hatukuangalia live🔥🔥🔥

UmmyZakiah
Автор

😁Hata Mb Ziishe Mpaka Mechi Iishe leo #nguvumoja

Princedanielofficial
Автор

Thanks Simba Sc Tanzania and Thanks AZAM TV.

EmanuelMuna-wq
Автор

Asanteni sana watu WA maana kabisa sijaungalia ndo nainjoooi🎉

SwalehOthman
Автор

Hapo sawa sasa maana niliisubiria kwa mda sAana

helsonpaschary
Автор

kama umemuona Morrison 8:36 weka like hapa

abdillahimohd
Автор

Simba ya msimuhu 2024/2025 inacheza kwa pasi zaalaka alafu inaonyesha ina ulinzi mzuri zidi ya ulio pita, yote kwayote simba day ilikua nzuri natumaini tutaludi kuiangalia tena game hili 2025/2026 tukiwa tumechukua taji la NBC simb day...UBAYA UBWERA.

MickyAluis-ym
Автор

simb nguvu Moja napenda San simb ❤❤ 7:32 7:34 7:41

LoseeLeboi