🅴🆇🆃🅴🅽🅳🅴🅳 🅷🅸🅶🅷🅻🅸🅶🅷🆃🆂 | SIMBA DAY 2024 | SIMBA SC {2} VS APR {0} | UBAYA UBWELA

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Utopolo watakoma mwaka huuu simba naipenda Sana timu yangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤ubaya ubwera❤❤❤❤❤❤❤❤

EditorJames-suge
Автор

Simba ilicheza kwa speed kubwa sana. What a performance, what a hit, what a players. Ubingwa wetu mwaka huu.

MohamedBakari-no
Автор

Wafanyieni dua wachezaji wetu jaman walindeniii❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ❣️, all in all komasava wana msimbazi🎉

Dully_star
Автор

Naipenda sana kuliko haha mme wangu😂😂😂 1:56

MonikaGadiye
Автор

Ilovee you Simba tunatengeneza kikos Ila talehe 8.8.2024 tuwaue aho Cobe 🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢 ubaya ubwela

selemanramadhani-scln
Автор

Ney naipenda Simba yangu jamani tuendlee kuiombea ili tar. 8 tukatoboe ewe radi mariza

NeemaZebedayo-ctif
Автор

Hii ni bahati kubwa Sana kuishabikia Simba na kuipenda hii timu kubwa barani afrika ahsant Mungu 🦁 🦁🦁❤❤❤

abelimaganga
Автор

Jamani wana simba tuwaombe wachezaji ❤❤wetu all na all all 🎉🎉🎉🎉🎉

BasotiNyakuhengura-lg
Автор

Coach waelekeze wachezaji wako waache uchoyo wataenda vizuri

marykitinya
Автор

Simba sport club ubaya ibaki kua simba tu

HashimKibalua
Автор

Hatarii sana Simba mpya ndo hii xaxa 🤜🤛🦁🦁🦁

Abely-ko
Автор

Mwamba wa umalila mbaraka edson mpenja, mungu akulinde unajua kutanngaza mpira, hongera sana mpenja edson💪🇵🇪🙏🇹🇿

thabitbakari
Автор

Sana simba chemistry ishaanza kukaa vzr

WilliamMartin-bt
Автор

First 11 is Camara, karabou, Malone, Hussein, Kijili, Okejepha, Fernandez, Balua, Mutale, Charles and Mukwala.

bbclondonulimwenguwasoka