12 DAYS OF HOLY COMMUNION SERVICE - 14.12.2024.

preview_player
Показать описание
Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hiyo damu ya yesu nikinywa iniondolee magonjwa visirani kwa ndoa yangu na pia mume anguapate kazi na pia mungu afungue njia zangu za kifedha na pia mtoto wangu apate nyota ya masomo amina

michaelAndanje-wg
Автор

Yesu hiyo damu yako SIKU ya Leo iniletee baraka hapa pamoja na familia yangu tufunguliwe umaskini utoweke🙏

vinzezandei
Автор

Mungu nisaindie nipate pesa kwa Ali ya juu adi maadui washangae

GraceMunyithya
Автор

Mungu nibariki na uniondolee ndoto mbaya wachawi wasinifute

Lidia-ds
Автор

Nadai hiyo damu iniongoze kwa jina la yesu kristo leo hii

samuelosuma
Автор

Fungua nyota ya maisha yangu eeh bwana

JosephMarachi
Автор

Nishike mkono bwanaa yesu usiniache naomba pia christo uzidi akili zangu ili nikujue wewe yesu wangu na unipe kibali cha maombi ili tamaa inayoleta mauti isinitawale

michaelAndanje-wg
Автор

nani anajua kwenye pastor Ezekiel ako sai

NairaChemutai
Автор

mtu yeyote aliyesababisa tv yangu haioni newlife tv mende na kunguni sijae kwake na haame na Chanel ifunguke.mala moja

Tigerboy-xsks