12 DAYS OF HOLY COMMUNION SERVICE - 12.12.2024.

preview_player
Показать описание
Join this channel to get access to perks:

Praise and Worship, Preacher, Teacher
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Father, I am requesting you to continue open for me my all plans, took to me to another level through giving a better job than the one that I have already doing Father and I believe you and I trust you Almighty Father, I know when somebody ask something you can't fail Father, your the true GOD Amen

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Najiunganisha na mungu wa madhibau ya new life, kwa sacrifice niliyotuma mungu nikumbuke nibariki nisaidie nisamehe nihurumie, sacrifice 12, no of readership I receive in Jesus name 🙏

AnnMuthoni-fzxz
Автор

I connect my daughter and my family to this higher altar 🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲

euniceomaore
Автор

Mwenyezi .mungu asubuhi ya leo nashukuru kubwa kwa kuniweze kuona asubuhi wa leo, baba kuna wenye wametamani na hawajapata, bwana upewe sifa kubwa chungu nzima, uinuliwe baba

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Najiunganisha na madhabahu ya mungu aliye hair katika madhabahu ya pastor Ezekiel nifunguliwe kuanjia SS hii wiki nisafiri nisafiri sekhem ya inze kufanya kazi jesus nem amen 🙏🏿🙏🏿 kuanzia saiiii

annabahati
Автор

Najiunganisha na madhabahu ya Mungu aliye hai, ktk madhabahu ya Pastor Ezekiel

DenisMarwa-wp
Автор

Baba naomba tu neema yako ata kama mwaka imeisha kama hakuna kenye nimefanya, baba mwenyezi mungu namini Kibali chako itanipa ushindi ooh baba, baba hata mimi pita kwangu kupita kwa hii madhibahu yako ya baba yangu wa kiroho nione miujiza kwangu inside umewafanyiwa wengine Amen

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Through my Prophetic Sacrifice i connect myself my kids Allan Cynthia David Susan Samwel my bros Joshua Joseph Philip Mburu my dad in this Higher Altar..Protect us From all evil and all those who are trying to destroy our lives May our Stars 🌟 shine brighter and brighter than ever protect my job LSH my unit South 1..all the evil plans i declare them powerless in Jesus Name 🙏

CatherineWangare-vcyv
Автор

Fungu langu la Kumi nimetoa kusimamia kazi yangu Na maelewano Na managers Wangu Na supervisor Mungu niitie nguvu naendelea kutolea kidogo nilicho nacho Na nitoe Kwa fikra Na maadui zangu Na midomoniliyosemwa vibaya kunihusu Maisha to yangu baba Niko Imani niitie nguvu baba familia yetu iko mikononi mwako 🙏🙏🙏🙏

MildredOmwando
Автор

Baba naomba tena nyota yangu mahali ilifichwa na wawachawi kutoka kifamilia yetu au babazetu wa kitambo, kwanzia leo ngoa hiyo nyota yangu mahali iko kupitia radi ya moto na damu ya yesu, baba naamini ushaondoa kwa ajili ya mwenyezi mungu Amen

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Iyo yote utaniondelea kupitia hii madhabahu ya baba yangu wa kiroho ev ezekiel Amen

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Yeyote alijukua ndoa yngu aiyajilie masaa haya Kila mmoja aliyekinyume na maisha yngu moto moto Kila mahali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

euniceomaore
Автор

Baba Ezekiel, najiunganisha n madhabahu yako naomba ju ya family yangu n a ya mume wangu, kla roho imefunga hzo boma zetu, baba utuondolee tupate kubarikiwa na tusimame, mipango yetu inawiri, mungu alete amani, nakapindi mtoto wetu precious umpe nyota nzuri umwundolee kla ktu mbaya kwake

NyasungutabenardRose
Автор

yes tawala maisha yangu pamoja na nyumba ya ngu 🙌🧘🙏🙏

mableminayo
Автор

May this Higher Altar speak for me in Jesus Name🙏

CatherineWangare-vcyv
Автор

Baba mwenyezi utaweza kuingia kwa roho ya madam security mdoz aweze kunipea siku kadha niweze kupeleke bibi yangu nyumbani, mwenyezi mungu hautanianguka kupitia kwa hii madhabahu yako Amen

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Hakuna kitu inaeza kushinda baba, tenda miuzija kwa maisha yangu na ndoa yangu kupitia hii madhavahu yako ya baba yangu ya kiroho ev ezekiel Amen

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Mwenyezi mungu umeona mahali anafanya kazi kupata nafasi ya kuenda mhali ni ngumu, Baba naomba uingie kwa roho ya manager wao aweze kubali kumpea siku ya kuenda nyumba ili tuende baba

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Baba unaona ndio umenipea ndoa na bado ni mchanga baba, baba naomba mwenyezi mungu mpango yangu kumpeleka bibi itimie

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Kwa hii madhabao naomba mungu anipe Roho ya ufanisi asubuhi ya leo

MeshackOduor-pyzp