12 DAYS OF HOLY COMMUNION SERVICE - 14.12.2024.

preview_player
Показать описание
Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yesu nirudishie nyota yangu ya ufanisi na dhambi zote wazijua nisamehe Leo na unisafishe unipee hekima, kibali na roho WA mungu

freddyzumah
Автор

Mungu pigania babangu, iyo shetani ya nyoka kumwaga makamasi kwa jicho lake, kemea na umpone katika jina la yesu, nguvu za madhabau hii imtete

erickayimba
Автор

Madhabahu hii inene juu y family yg 😢 madhabahu hii intetee ilinde wtt wg n Mme wg 🙏, madhabahu hii ituondolee maroho y vifo y mapema 🔥 magonjwa yote ya ukoo nayakataa 🔥 family yg ikombolewe ifunguliwe 🔥 tusamehewe tusafishwe kwa damu y yesu 🙏

beera.g
Автор

Lord God father, lord you have never neglected me, lord fight for me father, fight lord

erickayimba
Автор

Mungu wa haya madhabau, umenitetea sanaa ninombi langu baba yangu nipate kazi ndoa ipone na niweze kupata amani moyoni.Tawala maisha yangu baba

jacklynemusimbi
Автор

Kupitia madhabahu hii na nguvu y madhbh hii eeh Mungu wa mchungaji Ezekiel naomba ukombozi kwa wtt wg, naomba uponyaji juu y wa dogo
zg, ,
Geofris apone
gastristis
na
Evelyn apone asthma
wapone Kwa jina la yesu 🔥 wapokee afya njema kupitia madhabahu hii 🔥🤲🤲🙏

beera.g
Автор

Connected Jehovah jidhihirishe katika maisha yangu neema inanitosha

jacklynemusimbi
Автор

Mungu nyota yangu, ya,mzee na watoto irudi in jesus name

VictoriamuneeMuia-nifw
Автор

I connect my kids and my parents and sibling family and myself and my husband with this high altar of new life church today in Jesus mighty name God remember Michael's family open our financial breakthrough and may we all receive good health in Jesus name 🙏🏿

JanetMichael-ebuz
Автор

Nirudishia nyota yangu Mungu nikiwa oman nataka kujenga nyumba nzuri eeeh Jehovah' sikia kilio changu naomba nirudishia mpenzi wangu cleophas Sitka mtu mwenye eeeh Jehovah' naanguka mguu mwako usiku huu WA Leo Mungu 🙌🙌🙌🙌🧎🧎ndoa ya heshima pastor 💍💍

SofiaMramba
Автор

Amen 🙏🙏🙏 kupitia Kwa haya madhabau nitetee bwàna yesu

Prudance-qq
Автор

Mungu ninaomba kazi, amani kwa ndoa yangu pia kwa familia yetu pande zote🙏

Belindaakitsa
Автор

Yesu niponye kisukari Na unitee kazinyi kwangu

ChristineKatema-mh
Автор

Pastor for my family from grand parents,
. The spirit of premature dead
blood pressure disease i rebuke in name of Jesus Christ

SteshDishen
Автор

God remember my two sons, bless them with jobs, remember my daughter in her studies, remember my business, fight my battles oh God

annastaciamuthama
Автор

Colin's wekesa awachane na mipango ya kando amkumbuke mwanawe Eee Bwana Yesu 🙏🙏

Prudance-qq
Автор

May my 2025 life be good may God of this alter help me and my baby together with my family have a prosperous year

ShylaaKitur
Автор

Let the high altar help me to get my blessings and achieve my goals as well as to meet my achievements

Moseskivuvason
Автор

Plz Lord may this altar change my life

Kelvinmburu-fo
Автор

Mungu alifanya mambo makubwa huko uwanja wa safari rally kile kiliombwa hapo Mungu alijibu paap alikuwa akisumbuwa kenya alifutwa kazi ghafla Aminini Mungu anaye mtumia mtumishi wake Ezekiel

paskalinamkirema