12 DAYS OF HOLY COMMUNION SERVICE - 6.12.2024.

preview_player
Показать описание
Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimetuma sadaka ya ukombozi na wanangu kwa tigo pesa Tz Utukufu Kwa Bwana

eliaikangui
Автор

Asante mwenyezi mungu kuona siku ya leo, uzidi kunionekanie kwa mahitaji yangu ya kila siku, maisha yangu yote na hat plan zangu kubwa yenye nimepanga kufanya kwa maisha yangu kupitia hii madhabahu yako baba yangu wa kiroho Ezekiel Amen

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Baba uzidi kunibariki kwa hii madhabahu yako kwa kuona miujiza yako . Kwa mfano mungu kuzidi kunifungulia mlango yenye bado haikafunguka, kurudisha nyota yangu mahali wachawi au waganga kutoka kwetu au mahali popote kwa Jina la yesu

OchiengOdhiambo-eq
Автор

Bwana yesu hizi ndoto za mauti, uchawi, unganga, mapepo,backwardness, stagnation, rejection kwangu, mume wangu na watoto wetu ipigwe na rhadi ya nguvu za mungu in Jesus mighty. No more bad dreams

gladyswanjirumukundi
Автор

I have sent my tithe pastor i have a testimony i came month ago during holy communion having faith that all the fights i was going through at work and home they all ceased and i was to get a contract and pastor they offered me a contract last month i thank God for the blessing and i have faith that God will do more .I pray that door open for My husband Abraham madeke job opportunity i pray that my contract will always be renewed each and every contract i pray for peace to rein upon my life job .I pray that God anipe kibali i
Believe and more life and doors to open bigger doors utukufu kwa bwana amina amina amina

beatricekibutu
Автор

Baba mwenyezi natuma maombi kwa siz wangu kwa ajali yenye ilimpata ata kama ilikuwa mkono ya uchawi au uganga iwe katika familia yetu, community yetu kwa Jina la yesu hii madhabahu yako baba yangu wa kiroho Ev ezekiel imtetea katika Jina la yesu Amen

OchiengOdhiambo-eq
Автор

New life imenifanya kuwa jaziri Na nmepata Baraka kutokana Na madhabau Haya Mungu amenipa boss ambaye ananielewa pastor nashukuru mungu zaidi

LucyMila-mu
Автор

Eeh Mungu waujua moyo. Wajua udhaifu wangu naomba uniondolee. Nichunguze na unitimizie ambayo nimeweka mbele yako kupitia kwa hii dhabau.

eunicemakau
Автор

I connect my children to this prayer in Jesus name Amen

bahatichenje
Автор

Amen..thru my sacrifice ñ Holly communion mungu ni bariki na bariki fmly yangu tupe tamanio ya moyo wangu, ,

evelynawuor
Автор

Amen 🙏🙏 in the might name of Jesus Christ Amen

Hadija-zy
Автор

Father God give me strength, I seem to bear the weight of the world on my shoulders as a single mom, I often face challenges that can seem insurmountable especially with raising two children with special needs. I’m trying to balance everything but Lord I’m struggling to make ends meet, to pay bills, and to put food on the table for my children. HEAVENLY FATHER Thank you for giving ME strength to keep going.💕

ChildofGod
Автор

Kwa hii madhabao naomba mungu anibariki na Roho ya ufanisi na utajiri katika hii madhabao ya nguvu

MeshackOduor-pyzp
Автор

Letcia Daud
Naomba Madhabahu ya new life inisaidie nijifungue salama

richardndegese
Автор

Naomba mungu kwa hii ibaada ya above only unibariki na kazi ya maana niende nyumbani na Roho ya ufanisi

MeshackOduor-pyzp
Автор

Mungu kupitia haya madhabau nkumbuke na ukumbuke mme wangu na watoto wangu alkuwa job amesimamishwa...Ile pesa amesave hizo masiku namtolea ten percent na najua atapata KAZI mzuri.nmelia nmechoka naomba pastor Ezekiel niombee na nyumba yangu...madeni iniondokee....

queensalma
Автор

Bwana yesu asifiwe ushuhuda Wangu kitu kilichokua chanisumbua Kwa Koo yangu kimetoweka Kwa Jina la yesu s h Niko mzima nimepona

Nema-fd
Автор

Through this higher alter, naomba nyota za watoto wangu zingae kabisa chochote wanachohitaji wapate katika jina la yesu AMEN 🙏

aidawairimu
Автор

Thro tithe Mungu akemee wadudu na ujinga

naomiwangari
Автор

Naomba mungu anifungulie njia ya pesa niweze kufika uko in Jesus name. Mungu nisamehe Kwa dhambi zangu zote maana nmekutenda maouvu mungu

everlynekhayumbi