12 DAYS OF HOLY COMMUNION SERVICE - 15.12.2024

preview_player
Показать описание
Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

GOD change my calendar through this highest altar chochote kilichoandikwa kunyume na maisha yangu, walionilaani watangojea maana hiyo siku haiko, siku ya talaka, calendar ya watoto wangu iandikwe upya

stellachepkoechkipkurui
Автор

Mwenye amefunga maisha yangu, baraka yangu, nyota yangu, calendar yangu arejeshe la sivyo radi wa Damu ya Yesu itachapa leo katika jina la Yesu. Amen 🙏

NaomySuperStar
Автор

I connect myself and my children and my family to the Altar of New life may the God of pastor Ezekiel fight for us by the blood of Jesus Christ AMEN

margaretwanjirukinuthia
Автор

Mungu nisikae katika kiwango kimoja na uniondolee ndoto mbaya roho ya talaka umasikini madhabahu ya uchawi na unirudishie nyota yangu kwa Jina la Yesu amen

FaithMeril
Автор

Almighty God, through my sacrifice today, I pray for blessing, Milango zifunguke my brother apate license, tupate school fees na umaskini iishe, 2025 ibarikiwe Amen.

brigidjayb
Автор

I received my calendar of prosperity in the Mighty name of Jesus christ Amen

aliasha
Автор

Timothy neema ya yesu ikutetee katika mtihani wako in Jesus name

emanuelbushebi
Автор

Asante yesu siku hili. Ulinifanyia upasuaji ndani ya kizazi.. Nimepona kutoka kwa maumivu ya ajabu kwa kizazi.

achiengopondo
Автор

Am living this comment here ill revisit it with alot of testimonies amen🙏

nelvinawino
Автор

Bwana Yesu asifiwe, , Eee Bwana Yesu nipiganie 🙏🙏 Kwa Kila jambo na kupitia Kwa haya madhabau ya mtumishi wako uibariki Kazi ya mikono yangu 🙏

Prudance-qq
Автор

I connect myself mylife my siblings and our children to this Higher Altar of Newlife Mungu tupe neema tupiganie vita kazini tutawale tutetee tubariki tulinde ulinzi wako iwe juu ya maisha yetu

dianakoskeikoskei
Автор

Mungu wangu nakuja mbele zako kama mwanao wa Newlife....Naomba mungu wangu katika shida hili ninalo pitia....mungu nipiganie

BrendaChepkemoi-eejf
Автор

Yesu nakabidhi mbele zako safari yangu Leo niongoze baba safiri huu nafunika na kwa damu Yako hakuna ajali, hakuna mauti, hakuna nuski in Jesus mighty name Amen

carenkoech
Автор

i say so there shall be no death in my family great humility peleleza moyo wangu yesu niwe na pesa nisiwe nayo nipe roho utumishi utajiri amen

VictorOnyangootieno
Автор

Nyota yangu ilejeshwe ya ndoa in jesus, , , thank you Lord kwa haya madhabao ya pst ezekiel initetee

MorrisKimathi-sk
Автор

Mungu Ni ponye kutokana na infections . Iyeyuke Sasa hivi katika Jina la Yesu. Mungu tuponye na mtoto wangu Koo Leo na kuumwa iishe Leo. Mume wangu apone stroke leo. Apate kuongea vizuri Leo na mkono wake uweze kufanya kazi sawa sawa in Jesus name

Jeniffer
Автор

Kupitia meza ya bwana nikombolewe mimi na uzao wangu kwenye roho za mauti magonjwa umaskini madeni talaka ndoto mbaya tukombolewe kupitia madhabahu ya new life church 👏👏👏👏👏👏👏

Rehema-lu
Автор

Mungu anipe nyota uzao, biashara, huduma huduma ya mume wangu ionekane

RoseMtawa-ke
Автор

Mungu awafungulie watoto wangu kipawa cha kazi katika jina la yesu

elizabethmajuma
Автор

Amen 🙏🙏🙏🙏, , kupitia Kwa haya madhabau nitetee bwàna yesu na uinariki Kazi ya mikono yangu

Prudance-qq