FIX YOU: NDOA yake ilidumu mwezi MMOJA tu, asimulia MAKOSA aliyofanya, ni MATESO ya miaka 3 baadaye

preview_player
Показать описание
Ndoa ya Khadija Fataki ilidumu kwa mwezi mmoja tu. Tatizo lilikuwa ni nini? Kuna mengi ya kujfunza kutoka kwake

#FixYou
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana tunazidi kujifunza mbarikiwe sana

tanzaniaoman
Автор

Shukran sana Khadija kwa maelezo yako yanayotoa mafunzo kwa wengine. Pia pole sana kwa changamoto ulizopitia. Ni mfumo wa maisha ambao wengi waliupitia na wakaweza kuukabili. Ila point muhimu sana uloongea ni kweli kabisa wanaume wakiachana na mwenza wake ni rahisi sana kupata mahusiano mapya. Kwa wanawake ni ngumu sana sana kupata tena mahusiano mapya.

shekhaissa
Автор

Nakubali dada Yani umeongea ukwel mtupu wengi wanaangalia Yao tu ila kwa mwanamke wanakukatisha tamaa kabisa Yani mungu atusaidie wanawake

salmaamiry
Автор

For any single person listening this is very important. Marry your your friend, this is the core of marriage.

nyabokeomwoyo
Автор

Asante binti mzuri khadijja.yalishatukuta tukaumia saana bila suruhisho.

stephaniabenjamini
Автор

Sant sana nime ongezeya ujuzi Sns jo yangu kweli Allah awawekey wepesi kwa kila jambo 🇧🇮

nsazabahizirehema
Автор

Napenda sana hiki kipind na Zaid nakupenda Irene vile ulivyomcheshi 😘 😘💗 Mungu akubariki ktk Kaz na maisha Yako🤲

zayumar
Автор

Hadija you are the best!!!! Keep touching others' lives. God bless you.

kambibikamugisha
Автор

Mwanangu hadija nimekupenda Sana, upo Makini Sana, umekuwa na umewafungua wengi macho na kuzibua madikio Yao, Mimi ni mtu mzima lakini nimejifunza kitu toka kwako, ailini wagila Mayo mawe omkama Mungu akuteo omukono, nyegera olokole abaisiki abato abo owaitu bukoba🙏🏻🙏🏻

happynescostat
Автор

Yamenikuta hayo dadaangu . Lakini nashukuru kwa kutupa somo 🙏

laymashabani
Автор

Khadija Pole Sana! Unakumbuka Tulisoma Pamoja Chuo Cha Uandishi Habari na Utangazaji DSJ ILALA SHARIFU SHAMBA UNANIKUMBUKA KWELI!

isayachamsa
Автор

Shukran kipenzii kwa kipindi kizurii nawapenda nyote tupo hapa tunajifunza nikiwa 1 wa wahanga

kreamagdfsa
Автор

Nimeongeza mengine, hongera sana funzo kubwa

نجمةموبيبي
Автор

Kweli dada pole sana sisi wanawake tunawaza mume jo kilakitu sha maisha yetu.

rayanndizeyes
Автор

Tungepata kusikia upande wa mwanaume ingekuwa safi sana

godfreya
Автор

Na kuhusu dini ya kiislamu wala hakuna ilichokosea au kusahau imejitosheleza tatizo ni sie wenyewe.

hamisaally
Автор

Dada endelea kujifunza, KiDinj Bado hujui, kiperspectives za maisha Bado .. Kamureen tafuta Watu wa maana....

hamoudcreator
Автор

Uko sahihi kbs. Km mtu humjui ni changamoto kubwa sana.

rahmaabubakarisaanatu
Автор

natizama kutoka
Mombasa 001
aka bachuchu mombasa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪

khamisshee
Автор

Naomba namb huyo dada 😭😭 please 🙏🙏🙏 moyo wangu unauma

siamtenamtena