Zuchu – Cherie Feat Lava Lava Visuals

preview_player
Показать описание
Get #PeaceandMoney Album Now 👇🏼

Peace and Money album by Zuchu explores the
intertwined themes of love, harmony, and prosperity. It
delves into the complexities of relationships and the
balance between personal peace and financial success.

Track No. 8 from Peace and Money Album
Cherie feat ​⁠

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunao mkubali lava lava tujuane kwaku like hii comment plz

badboyjephanie-uhmz
Автор

Poleni nimechelewa kidogo....nipeni likes za lavalava kama mwamkubali huyu mwamba

gibbstuvahtheegibbs
Автор

Hii kweli WCB wanatupa laha kweli hii Ngoma Kali sana wote walio ikubali naomba mlike hapo chini ❤❤❤❤🎉🎉🎉

Akilimbilicomedy
Автор

Wenye wamekuja kuangalia huu wimbo kwaajili ya lava lava naomba tujuane hapa😊😊🎉🎉🎉

riziankassam
Автор

Mr.Lava na Zuu love from Mozambique 🇲🇿 naomba like zangu jamani, Obrigado.

abdalaangelino
Автор

The Queen of Best Female Artist in Africa, Zuu Hana Kashfa Kama most Women, Anajiheshimu Maasha'Allah🎉💯🥰

rashidfatma
Автор

Zuchu na lava hii bolingo mmeitendea haki, yaani napata raaaah kwa kweli

husseinpazi
Автор

Aliye mloga lava lava tafadhal amuachie anajua mpaka anajua tena

RahmaRahma-tf
Автор

This is Lavalava we been missing . Hii style ndo ina mufiti Lavalava. Munanitoa tanzania mpaka Congo

Автор

Wakwanza kutoka Burundi. 🇧🇮🇧🇮 Naomba Like 🎉🎉

ButoyiThierryve
Автор

Walio kuja kuangalia huu wimbo kwa ajili ya Zuchu nipe like

AthmanKuonda-wb
Автор

Lava lava niwa moto nakubali sana hizi ndo nyimbo zako sasa

Eventjekonia-ktrn
Автор

Team Saudi Arabia 🇸🇦 wapi likes za queen wetu zuchu ❤❤❤❤❤❤

jackywambua
Автор

Asante lava lava kwa kurudi vyema kwenye game.Huku Kenya 🇰🇪 tunasema "Maintain"

KombeNzaiNicholas
Автор

Huu mwezi hautaisha lava lava utafanikiwa sana kupita maelezo kutoka kwa kinywa changu hadi kwa masikio ya mwenyezi Mungu 🙏🏾🙏🏾❤️

bettyanthony
Автор

Nyimbo tam sana tumerudishwa enzi flan hiv watoto wa 2000 hawawez kuelewa hicho kibiti mwishon nice❤

RahmaAlly-po
Автор

Hiii nyimbo balaaa aisee❤❤❤ njoooni apa tusonge mbele🎉🎉

SamwelBusumabu-dc
Автор

Safi sn, ila musisahau kuombeya inchi yangu Congo 🇨🇩🇨🇩 jamani 😢😢

Nojabz
Автор

Kanajituma adi raha ❤❤❤🎉🎉🎉chukua maua yako zuhura we love u🤗🥰🥰

RevithaRevitha-fq
Автор

it's fair to say Bongo is the best type of music in Africa and WASAFI has just the right group to deliver. Asante Simba

maukutarsis