MAPACHA WENYE UWEZO WA AJABU, UTAPENDA.

preview_player
Показать описание
Watoto wadogo wenye vipaji vikubwa vya uigizaji shuhudia balaa lao watoto hawa, utapenda. Hakikisha unasubscribe, like comment alafu share kwa wingi iwafikie wadau zaidi, twashukuru kwa sapoti yenu.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tafadhali Subscribe, like na comment ili usipitwe na video zetu zitokazo kila siku

KEIMEDIAENTERTAINMENT
Автор

😂😂Wasukuma au siyo, nimewapenda bure wadogo zangu

moviekali
Автор

Kazi nzuri ila Sasa mmetumia short Moja tu ambayo ni wide short.ingependeza hata mngetumia short hata mbili kama closer up Ili wahusika tuwatambue sura zao vizuri ingekuwa Bomba sana .kwa hiyo ungecheza na short mbili wide +closer up.ila all in all kazi ni nzurii

Mabangonastika