The Story Book: Watu 15 wa Ajabu Zaidi Duniani

preview_player
Показать описание
The Story Book: Watu 15 wa Ajabu Zaidi Duniani

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

SubhanAllah Yarab tupe mwisho mwema...km umeguswa na hii story gonga like tuende sawa

qaltumsaid
Автор

Tunaomkubali Professor Jamal Tujuane Kwa Likes Hapa👍🏿

dadyshunaydah
Автор

Dah.. The Story book kali sana.. Ubarikiwe kwa kutuletea hizi mambo... Tunajifunza mengi broo... Respect to you... Hakika usichoke kutupa madini haya... Endeleza nitapoteza Mb zang kufatilia... Na hakika sitojutia... #Jamal April.. Big Salute

slimmuhabesh
Автор

Hawa wapuuzi watakuja kujielezea kesho mbele za Mungu kwamba ni kwann waliamua kujibadilisha baadhi ua maumbile yao...sijapenda huu ujinga wao

mohammedhalfan
Автор

Mungu akupe hitaji la moyo wako uzae mwanadamu wa adabu kama ilivyo matamanio yako

josephmarwa
Автор

Subhanna'Allah anatisha mwenyezi mungu atupe mwisho mwema🙏

salmaalnaamani
Автор

Professor must get an award for his sweet stories

guvamalik
Автор

mashallah may god bless you and give you many more lives here on earth

rahmasamir
Автор

Subhannallah...daah kwel Mung anatuvumilia sana

yaroobalgahdani
Автор

Nina maswali mengi Sana juu ya simulizi hii ya leo nilitaka I hata nipate wasaa wa kumuuliza maswali professor 😔

msusasandali
Автор

Wangap Tunaoenjoy sn hich kipindi gonga like twende sawa

ramamanyama
Автор

Na Mungu atawafufua hivyo hivyo na kuwakana kwamba yy hajaumba binaadamu wa aina hyo

wardaomar
Автор

Mungu akupe maisha malefu professor uzidi kutupa mambo ya Guinness book

edinaobel
Автор

Subba an Allah oooh mungu wangu mwenyezi mungu azidi kitu rehemu

MbokoAimer
Автор

Kaka unaweza sana 😭😭😭 I'm watching from 🇲🇿

polyglot
Автор

Duh hii dunia hii, ina watu wa hovyo sana

mlsglobalchannel
Автор

Hi Professor Jamal Napenda hii simulizi endelea kutupa mengi support 100% from Kenya Mombasa.

sammyeddy
Автор

Innalillah wainnailaih rajighun binadam kmkosoa muumba wake acha 2 huo moto uwake hko akhera

ashaomari
Автор

Hi professor Jamal, love the way u inspire me with your history stories which I find them true n believe in them...honestly I really love your stories which makes me aware of what it's happening in this world 💕💕

tifahhamiar
Автор

Subhanallah Mungu atuepushi ss na vizazi vetu

shadyabdallah