Samaki mtu akutwa ufukweni mwa bahari | Matukio ya ajabu.!

preview_player
Показать описание
#Realmermaid #samakimtu #wildzonemedia #matukioyaajabu

katika video hii tumewaletea samaki mtu watano waliokutwa ufukweni mwa bahari.
Tulivyokuwa watoto tulikuwa tukielezewa kuhusu samaki mtu ilikuwa kama hadithi ya kufikilika na hakuna mtu alieamini mpaka ulipoletwa ushahidi wa video, sasa leo hii tumeona tukusogezee na wewe ili utoe maoni yako kuhusu hayo.

Enjoy your footage

USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE COMMENT NA KUSHARE KWA MARAFIKI..

ASANTENI.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

❤❤❤❤❤❤mimi ni kijaliwa kumuona huo samaki mtu na fika nahaga umasikini

omanoman
Автор

Kwakweli kwenye bahari kunamengi namajini sana sehemu yao ni bahari ndo maana unaambiwa ukiwa kwenye bahari usome dua ya kujilinda nausijione kama uko kwenye swiming pool sisi hatuna uwezo wakuwaona wao lakinni wao wana tuonaa ndo tulivo jaaliwa na Allah sw huwawanakuwani majini nakujigeuza kwenye hayo maumbo

zenaahmed
Автор

Ndio ni kweli hao samaki ni malaika walioanguka KO wanajaribu kuwaaminisha watu hili kuon ni kitu cha kawaida lakin ni mashetani

VeronickaJanes
Автор

Jesus is the way the truth and the life ❤

linvi_chemutai
Автор

Mhhh siwezi kusadiki jamani labda mpqka nimuon kwa macho yangu

NiceHerman-sl
Автор

Kwakwel ni maajabu makubwa sana mwenyez mungn atuepushie😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

gilbertoisso-hw
Автор

Nilihudhuria kwenye maonyesho ya sabasaba nikahudhuria Banda la maliasili nikawauliza kuhusu Nguva au Samaki mtu wakanijibu HAKUNA KITU HICHO.

DicksonMwabungulu
Автор

Kuna majitu wanayovaa ila sio kwel me mwenyewe mdogo wangu aliqahi kulivaa hili jitu

gilbertoisso-hw
Автор

Si samaki mtu. Don't be believing in everything to be reality. 👀🤔🙈

kateryan
Автор

Siamini kuna viumbe kama hii maana haijawai onekana ila tu kwa media na amini ni photoshop(camera trick)

abdikadirabdullah
Автор

Hahahha nusu mtu nusu binadamu umetisha broo

amanirazalo
Автор

Waswahili wanasema hivi asie jua mana usimpe mahana tafuteni jicho la tatu ndo mtajua ukweli wa hao mambo na ndomana afrika umasikini umezidi wazungu waliagundua mapema na ndomana kwawo umasikini ni kama bahati na sibu

omanoman
Автор

Jamn mm bado c amn kama kweli haoninguva

FrenkMussa
Автор

Bahati Zina wenyewe haja ndio wenye hahari

VisignMedia
Автор

Siwezi kula samaki huyo mimi nitakuwa kama mchawi kula samaki huyo

danielmlwafu
Автор

Marmaid never exist, this is just a movie, ,

appluxfriday
Автор

unahabari za kisenge sana ningekuwa ba kuona ni viboko tu picha haziendani na mambo unayoongea

gabrielmartin
Автор

Umechapia nusu mtu nusu binadam tuna pigwa

hudhaifamohamed