ZUCHU PWITA (Lyrics)

preview_player
Показать описание
ZUCHU PWITA (Lyrics)
#zuchu #lyrics #pwita
🔔Turn on the notification bell to stay updated

Lyrics:

Wa rohoni
Ukweli kabisa nakukunda chane
Hapa moyoni
Peke yako umekaa you're the only one
Ayaaya

Nawataarifu
Nimempata mwenyewe
Huyu ndio anaenifaa
Na nisitake kitu lazima tu nipewe
Msione nawakataa, ayaaa
Nami naahidi, mmh
(Nami naahidi yakee)
Chaguo langu ni wewe
(Chaguo langu ni wewe)
Sina wa zaidi, aah!
(Sinaa sinaaa)
Nitakupenda milele, eeeh

Pwita pwita, Pwita pwita
Moyo unanipwita pwita
Pwita pwita
Moyo unanipwita pwita

Tunaendanaa
Mi nae kufa kizikana
Tunapendanaaa
Mi nae kufa kizikana
Ananipa tende nampa asali
(Asali)
Mpende msipende wala sijali
(Sijali)

Nami naaa...
Nami naahidi, aah
(Nami naahidi yakee)
Chaguo langu ni wewe
(Chaguo langu ni wewe)
Sina wa zaidi, aah!
(Sinaa sinaa)
Nitakupenda milele, eeeh

Pwita pwita, Pwita pwita,
Moyo unanipwita pwita
Pwita pwita
Moyo unanipwita pwita

#zuchu #lyrics #pwita

GOD BLESS🙏 YOU.
Рекомендации по теме