Yanga SC 3-2 Mashujaa FC | Magoli | NBC Premier League - 19/12/2024

preview_player
Показать описание
Tazama magoli yote matano yaliyofungwa kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC dhidi ya Mashujaa FC.

Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 3-2

Magoli yote matatu ya Yanga yamefungwa na Prince Dube

Magoli ya Mashujaa FC yamefungwa na Idrisa Stambuli na David Ulomi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wachezaji wetu wa yanga mmenifurahisha sana. Asante 💚💚💛💛🇹🇿💐

Mariwx
Автор

From #EconomicallyGrowthMusicians haikuwa siku nzuri kazini kwa golikipa |<omen, pole sana Komen...
Congratulations Guys 🎉🎉🎉🎉

EGMLabel
Автор

Hakika dube imemlilia sana Mungu kwaajili yako Mungu kajibu🎉🎉❤❤

KaungaDory
Автор

Khomeni ni kipa mzuri leo tuh hajaamka vizuri wananchi tusimlaum sanaa atakaa sawa inshaallah na tunamuombea diara apone inshaallah arudi kwake...

MhabeshiMaluja
Автор

Good hatrick from prince dube, number one supporter from uganda

abdallahyunus
Автор

Uyo gori kipa komeni atakuja kutuponza ck moja...
Mara mia awe anadaka abubwari msheri

pacomezouzoua
Автор

Huu ushindi sio mzuri. Wanaruhusu magoli kilahisi

kabhikachambala
Автор

Wakwanza ku view jamani nipeni maua yangu😂😂

paulkennedy
Автор

❤nawakubali mwanzo mwisho, nataka kadi ya uwanachama

MajaliwaRajabu-bf
Автор

Ila Khomeni Ali taka kutuharibia mechi kipa bovu xana

GodfreyKarino
Автор

Kipa wetu vipi turia mungu yupo nawewe inshalaah

ShomariAthumani
Автор

Kipa Ametufelisha Sana..Mipira Yote Aliyofungwa Ni Ya Kisenge..Msituwekee Tena Huyo Kipa..🤪

Tassyomy
Автор

Tunaombq km msheri haumwi hana majeraha akae gorn ili shpa!!

hidnakirungi
Автор

Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

amanmalima
Автор

Huyu ndo acheze alafu musheli asubili kweli!!!!

AshrafuMuhaji
Автор

Hata alikamwe angekaa golini asingefungwa hayo magoli

joshuameshack
Автор

Magoli tulio fungwa wana Nchi Tatzo kwa golikipa

HamisSaidi-hu
join shbcf.ru