Penati | Azam FC 5-6 Yanga SC | CRDB Bank Federation Cup - 02/06/2024

preview_player
Показать описание
Tazama penati zote zilizopigwa kwenye mchezo wa fainali ya #crdbbankfederationcup kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC.

Yanga imeshinda kwa jumla ya penati 6-5 na kutwaa kombe la Shirikisho la CRDB Benki kwa mara ya nne tangu lirejee mwaka 2015.

Waliokosa penati kwa Yanga ni Stephane Aziz Ki, Joseph Guede na Ibrahim Abdullah Bacca.

Waliokosa kwa Azam FC ni Iddy Nado, Gibril Sillah, Fuentes Mandoza na Lusajo Mwaikenda.
Рекомендации по теме
welcome to shbcf.ru