YANGA 1-3 AZAM FC : Tazama magoli matamu yaliyohitimisha msimu wa VPL 2017/18

preview_player
Показать описание
Azam FC imeilaza Yanga SC jumla ya mabao 3-1 kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo dimba la Taifa Dar es salaam.

Mabao ya Azam yamefungwa na Yahya Zayd, Shaaban Idd na Salum Abubakar wakati la Yanga likipatikana kwa Azam kujifunga kupitia kwa beki wake Salum Kheri kujifunga.

Matokeo haya yameifanya Azam ikae nafasi ya pili , huku Yanga ikibaki nafasi ya tatu.

Haya hapa mabo yote.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

hongera sana kwa azam... na pole sana kwa ndio mpira ulivyo kufungwa na kufunga

hanimbaggio
Автор

Duh! polen wanajangwani, hongera azamfc

francklaurentmpogole
Автор

Hongera sana Azam fc kwa kunipigia hawa chura 😂😂😂😂

laurentchimbirani
Автор

vyura fc mtakoma mpka mfee na bado mkienda Kenya kwa mpira huo mammama hongeraa saaaana azaaaam kwa kutusaidia kuwafunga mdomoooo haya semen na hiyoooo washenz note hiyo goli la kwanza life inaitwa kamkanye mwanaoooo

rosemarykaroli
Автор

hilo goli la yahya zayd limenikunbusha lile goli LA okwi dhidi ya yanga alilo mfunga ally mustaph 2015 hahahahhaha, best goal 17/18

annithamassawe
Автор

Sasa wana yanga miaka 3 tunashinda kidogo tu kufungwa tunachanganyikiwa? Bado tusubiri msimu ujao tutafanya vizuri kunamtu kadai tulibebwa hapana sikweli tulikuwa vizuri saana

selemankishema
Автор

azam NNE yangu sufuriii#kwan goli mmefunga nyieee?

reyjosee
Автор

Huyo mwenye goli zuri ajiandae kuja kwa mnyama maana tunaweza fanya chochote

emanuelgaddafi
Автор

Azam wacheza jamani hata magoli yao unaona wanavipaji!

edwardedward
Автор

yanga sasa kwa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara watasahau sana tuu kama Liverpool au Nottingham Forest

sikandarsuleimanTV
Автор

Huyo mtangazaji ni wa yanga, lakini ameshakipata

abrahamkibona
Автор

Mhhhh azam watam wanapiga mabao kama Ya ulaya

oswardfrank
Автор

Hayana Akiri ndyo Maana yana temea watu Mate!!

raymondjimmy
Автор

je yanga fc msimu ujao tumpe jina gani wamchangani au?

leonardevarist
Автор

Yanga wa kimataifa nawaona kweli wa kimataifa

bidabidatz
Автор

Sf sana azam walituzulum sana hao vyura

husseinkonz
Автор

zaidii jitunzee utafika mbalii kipaji unacho

yonahmadembo
Автор

Acha tufungwe tu Pumbavu maana watu kama hawajui wanachokifanya vile

meshackmganga
Автор

Yanga hii hadi aibu yanahtajka mapinduz ya kla eneo, viongz na walimu wa timu jarbun kukaà pembeni ili wajarbu na wengne wenye mawazo mapya. Nafkr kuwaza kwenu kumeishia hapo.haiwezekan bingwa mara tatu mfululizo, mwaka mmoja baadae iwe hali mbaya hvyo kifedha (hapa naamanisha uongoz) haukuwa na plani hata kdogo. key players wamekosa mishahara yao hata kabla ya mcimu kumalizka.hzo pesa za mataji hazkuwekezwa. No proper planning, just quit we have been clients of poor results for so long time!!!.

yohareal
Автор

mmmh, ...hongera chilunda kwa kumlipa Gareth Bale
nilijua mambo kama haya ni uefa tuu kumbe hata vpl
daah kweli yanga kichwa cha mwendawazimu hadi watu wanapata ujasiri wa Ku acrobatic mmmh hahahaaa

mo_lifamgaya