Alikiba - Dushelele (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Alikiba performing Dushelele, The music Video was shot in Kariakoo,Dar es Salaam, Directed by Karabani.

Listen to Alikiba on Digital Streaming:

Connect with Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:

©2009 Kings Music Records.All rights reserved.

#Alikiba #Dushelele
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Old's Gold kitamboooo... Naomba LIKE za wakongwe wote😂😂😂

rajabuathumani
Автор

Mwaka 2024.Nani yuko hapa? Nipe likes.

zablonmatara
Автор

Wimbo una Miaka Mingi sana Lakini Hadi leo hii 2023 BADO UKO VIZURI 🔥🔥
Kama Unaamin Huu Wimbo Unaenda Kuwa Trending Namba 1 tafadhali Gonga Like ✅

farajiwanted
Автор

Tofauti ya nyimbo za Diamond na Ali kiba ni kuwa nyimbo za Kiba zina message na itaka miaka kumi ama hamsini na bado ni hit 🔥, lakini za Diamond niza muda flani na hazi wezi rudiwa tena miaka zingine kumi ama hamsini, King Kiba 🔥

cheevansphotography
Автор

Alikiba for real.kama wakenya tunampenda kiba wap likes zke

Bakarimhengasheikh
Автор

Huyu ndie king👑👑 hata iwe ngoma ya zamani tunaingia treandng sasa✊✊✊💪💪💪

rizikikayombo
Автор

Unaweza kusema wimbo ndo unatoka kumbe ni miaka mingi imepita pull up king 🤴👏🙌💙❤

burnaboy_
Автор

One of the classics. Still sounding fresh so many years later

juliusopiyo
Автор

Ukiachana na Run Dunia, Mali yangu na Hadithi, Nyimbo yangu pendwa ya Muda wote ni Dushelele na Naksh Naksh Mrembo,

Much Love for our King💓

zclassichb
Автор

Anatanga na kichanga kutwa kiguu na njia
Na nani ampe rupia iende pasi na fadhila
Madhila anayopata nikimuona namhurumia
Natamani arudi kwangu ila kumwambia sio sawa King Kiba👑

lanafelix
Автор

Moja ya ngoMa ambazo zitaishi Sana..
....weka likes za kutosha kwa king was bongo flavor 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

toucheslifeonlinetv
Автор

How many years have we been waiting for the video 🤣🤣🤩 King himself

THEPUREFAM
Автор

Dushelele 🎵 ni moja ya ngoma ambayo nili imiss sna kwenye akaunt ya you tube kwa KING KIBA👑 hata kuistream nilikuwa naona uvivu maana nilikuwa naona kama mwenye haki hapati haki yake, , , asante sna KING kuiludisha kwako naipenda sna ngoma hii #Dushelele🎵❤

bonifacemfaume
Автор

Mziki mzuri unaishi milele kama imetoka leo 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🔥🔥🔥🔥

Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
Автор

one of the Best songs you ever made🔥, bado Mapenzi Yanarun Dunia sasa

LionT
Автор

nipe likes hapa 2024 KAMA UMEKUJA KUISIKIA HII BANGER

mbogomedia
Автор

Thanks for bringing us to oldies, indeed old is gold🥳🇰🇪🇰🇪

WillisKE
Автор

Old z gold, someone tell the king 🤴 that the queen 👸 z missing him so much 😢 💔 ❤ n loves ❤ him

najjukozaina
Автор

Best Song 🔥🔥🔥🔥🔥 ngoma inaishi miaka yoteee, this is king 👑

nasrybinahmad
Автор

Difference between king kiba and diamond is consistency

MbusaJoyous
welcome to shbcf.ru