Alikiba - Mahaba (Official Lyric Video)

preview_player
Показать описание
Official Lyric Music Video by Alikiba performing "MAHABA" With an introspective message Of love, the song “Mahaba” tells a story about how love life story, more about the outcomes Of the love story, and insisting the no need of not falling in love but to feel free loving any. The Lyric video was shot in Dar es Salaam, Directed by Bless Dollar.

Listen to Alikiba on Digital Streaming:

Connect with Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:
Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)

©2023 Kings Music Records.All rights reserved.
#Alikiba #Mahaba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Utulivu mzuri uliotumika kwenye nyimbo hii hongere sana king 👑
Uwalisia huu wimbo ni wimbo ambao nimependa sana hongera sana

maliatabuerenesti
Автор

Love from Burundi 🇧🇮♥️
Kama unamkubali King
Gonga liké zako hapa
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

eliezelrambo
Автор

much love from Kenya East Africa na Africa nzima. ALI KIBA IS A MAADUI WAMEZE WEMBE

hoseamurih
Автор

Kenya tunakupenda king kiba
🇰🇪🇰🇪♥️♥️🔥🔥♥️♥️🇰🇪🇰🇪

joelwatharanjuguna
Автор

King km king ajawai kosea ata kwa siku na km unakubaliana na mm gonga. Like ngoma itasumbua sana ii

jumakatema
Автор

Finaly my song is out Mziki mzuri sana, nimerudisha mara 10 makofi sana kwa 🤴 kiba watch always to 🇺🇸 love from congo 🇨🇩 +🇰🇪 = 🇹🇿

shabankingboss
Автор

National anthem for the broken hearts 💔. God bless Africa.

afroman
Автор

King kiba East Africa coolest artist...like ili tupatie huu Wimborne heshima

mogakathomas
Автор

Fresh from heartbreak 💔.... Thank you kingkiba♥️♥️♥️ Siku zote nakuheshimu...

Bosslady
Автор

Huyu King Kiba Allah azidi kumueka Inshaallah zile hisia kwenye nyimbo zake nazipata sio mchezo jamani Big up King Kiba big up Yogo Beats big up Kings Music Record at large we love your music guys 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪👑👑👑👑

iddke.
Автор

From Cinderella to Mahaba. 15 years of King Kiba.

victorwangila
Автор

Alikiba never disappoint 🌎😍....nipewe likes jameni za wenye awana mahaba..

marylinshan
Автор

Mfalme wa mziki Alikiba. Wewe ni mfalme wa siku zote. Tangu 2006 na fuata nyimbo zako, kuanziya Cinderella, una juwa mziki. Congo 🇨🇩 twa kupenda sana. Tu es une grande star, un génie de la musique. Wewe ni Okapi de wa mziki, ya kwamba hauna mpinzani na haupatikani ingine fasi ulimwenguni.

chancezabangire
Автор

Sijui ni mapema sanaaa au ndio ukweli kuwa hii nyimbo itasumbua zaidi ya #UTU 🙌 Heshima kubwa kwa Yogo Bests anajua kumpa MFALME kile kilicho bora zaidi. Song Of The Year 👏

Venture_
Автор

amazing❤❤ tunaringa Sana hapa Kenya tunapopakuliwa vitu fresh kama hizi Moto Moto keep going Ali we are proud of you

Colomimuzik
Автор

Nimetokwa machozi Aki hiyi ngoma hinagusa kwenyi moyo wangu 😭😭😭😢😢💔💔🥰🥰🥰🥰🥰

salamabwanamoya
Автор

Alikiba mahaba song,
Valentine's day, mahaba tu yametuchosha, mfalme Asante sisi wengine mahaba mh tuwaachie mwenyewe tu" gonga like kwa ajili ya alikiba au mfalme na usipite pila like yako hapa💘💘💘💘💘

Rema_znz
Автор

NAOMBENI MNIPE LIKES YA KAKA ANGU ALIKIBA KWA KAZI NZURII👊

K
Автор

This song melts my heart all day, ❤️❤️❤️

erima.b.josyln
Автор

Can’t get enough of this song🥰… mapenzi siku hizi imekuwa ngumu kliko life manze😭😭😭…… wapi like zangu jameni😭💔

willymbugus