Alikiba - DODO (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music video by Alikiba Performing DODO (Official Video)
Written & Performed by: Tommy Flavour & Alikiba

Get It now In All Digital Platforms!

+For More Information Booking Alikiba:

Connect with Alikiba on Social Media:

Get More Song by Alikiba

Dodo refers to a well rippen Mango, but in the song it reflects a very beautiful woman, well raised by her parents and ready for marriage.Audio produced by Yogo beats assisted by Tommy Flavour, Kenny guitar and Video Directed by Rockshot.

SPECIAL THANKS
To the Ministry of Information, Tourism and Heritage in Zanzibar, hotelverde Znz ,zanzibarcabletv , Mr Rashid Khalfan Ali,sweetyrawah , Emerson spice Zanzibar, Management of Mji Mkongwe Zanzibar!

#Alikiba #Dodo
©2020 Kings Music Records.All Rights Reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Alikiba 4 really, Nyimbo mzuri xn na km unakubali weka like yko, na km umezoea kubishana ruksa kupita

amanzingena
Автор

Tujuane ❤, Nani anasikiliza ngoma iyi mwaka huu wa 2024

amanikabika
Автор

Kumbe inawezekana kufanya mziki mtamu na unaopendwa bila kuwadhalilisha mama na dada zetu na Bila kututajia viungo vya mwili
#back to our radical roots
#Tanzania with traditions
#thanksOfficialAlikiba

jameskasekele
Автор

Kama umeskiliza wimbo huu mwaka 2024 gonga like apo...

RobertKalumuna-ikli
Автор

Kama umeona 1 trending shusha like twende sawa

barakaagust
Автор

All the way from Ghana am here for African king
One like for me wl

jennykwayu
Автор

Ngoma hii Kila mwaka nasikiliza zaidi mara 20 # asnteh Sanaa alikiba

WaziriMwamasangula
Автор

This is my 1st nimepata much like in ma life 300likes leo nitalala na viatu kweri *king* *kiba* amenifulahisha saaana

bizichachachartiel
Автор

Riziki yake huwezi kuizuia kivyovyote ..mtoaji mungu ...roho mbaya na wivu haisaidii kitu .. punguza views sio mwisho wa kuwika ..atawika tu ..kiba highhhh💪💪

fatmaamran
Автор

Huku Congo Tunasema Ni Muziki who believe 1 on Trending Mwezi Muzima Like Please....

erickrugeiyamu
Автор

Kiba je t'aime depuis DRC....poleni sana Magufuli ame acha Africa nzima na uchungu.

vanimam
Автор

King Kiba the only artist playing true bongo fleva music. Wengine walipoteza mwelekeo na nyimbo za matusi

chasoh
Автор

Narudia tuuuh sichoki hata kidogo ladha kama yoteeee gonga malike bhana yakutoshaaaa

mkijomutv
Автор

A billion people in the world but will always choose you Kingkiba

julietajwang
Автор

Yan sijawah ichoka hi ngoma. Kama tupo wote 2021 tujuwane💝💝💝💝💝

bestinerblessy
Автор

G o a t 🔥🔥🔥 tungo zisizo na matusi, wapi like za watanzania💪

davidkcirderf
Автор

𝙲𝚑𝚊𝚖𝚊 𝚌𝚑𝚊 𝚠𝚊𝚐𝚘𝚗𝚐𝚊 𝚕𝚒𝚔𝚎 𝚝𝚞𝚙𝚒𝚊 𝚕𝚒𝚔𝚎 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚝𝚞𝚠𝚎𝚗𝚍𝚎 𝚜𝚊𝚠𝚊

kingfocustzog
Автор

Oswago from Kenya my favorite bongo singer king kiba Tz mnipe likes jameni love you guys ♥♥♥

oswagopeter
Автор

What I like the most about Alikiba's music ni kwamba hatumi lugha chafu. Nyimbo zake zipo every age friendly. Maisha marefu King Kiba.

shadiaahmed
Автор

WA kenya gonga like 🇰🇪🇰🇪good job thumbs up 👍👍👍👍👍

christineshiko