Alikiba - UTU (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Alikiba performing {Utu} track Number 14 from the Album Only One King, The Music Video was shot at Horombo Huts in Mount Kilimanjaro🇹🇿(3700m above the sea), Lake Duluti Arusha,Tanzania and Fun Retreat Hotel, Directed by Ivan.

Listen to Alikiba on Digital Streaming:

Follow Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:

©2022 Ziiki Media & Kings Music Records.All rights reserved.

#Alikiba #Utu #OnlyOneKing
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

UTU video was shot at Horombo Hut in Kilimanjaro, a beautiful place locted in Kilimanjaro Mountain 🇹🇿 (3700Metres above the Sea Level), Lake Duluti in Arusha city, and Fun Retreat Hotels !

alikibaOfficial
Автор

Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza 🎶❤👑

lanafelix
Автор

Ninachoupenda huu wimbo unaweza kumwiimbia mtu yoyote 🥰🥰Asante kingkiba unafanya vitu vyenye ukubwa na ubora kwa kila asikilizae na atazamae be blessed 💞🤴

roseafrael
Автор

Wimbo wa Taifa... Moja ya Nyimbo itakayoishi milele.. Hongera bro kwa utunzi mzuri wa nyimbo hii

andrewkaswagula
Автор

(1)Best Album of the Year (ONLY ONE 👑 KING)
(2)Best MALE Artist Of The Year (ALIKIBA)
(3)Best Song Of The Year (OYA OYA-ALIKIBA)
(4)Best Song-writer For Always (ALIKIBA)
(5)Best International song COLLABORATION Of The Year(Songi Songi Remix)Featuring ALIKIBA

Na Hizi Ni Tuzo Kutoka Kwa Shabiki wako

jumannehosseah
Автор

Nyimbo nyingi ni nyimbo ambazo hakuna massage kali, hakuna ujumbe, hakuna elimu, nyimbo za klabu, nyimbo ambazo huwezi kamwe kutazama kama familia. Lakini Kiba analeta bidhaa au wimbo, hata kama familia tunaweza kuufuata na huwa tunapata ujumbe mzito hapo. Asante sana Kiba 🙏🙏🙏🧘

laveb
Автор

The ever-green Alikiba never disappoints great song huku Kenya tunakutambua

vincentonyango
Автор

Hizi ndo nyimbo za watu waliopevuka akili...utabaki kuwa mfalme broo japo.
Wimbo huu unashiba bila kula na unalewa bila kunywa..❤

franklinroosevelt
Автор

King Kiba, the unstoppable full package, the son of Africa. Watanzania wana bahati sana na wamebarikiwa kuwa naye

thethengomba
Автор

Alikiba is king on Africa Na Ulimwengu mzima, hu Muziki wa UTU unafanya vizuri Tanzania Na uku Mozambique pia. Alikiba ONLY ONE KING unafanya vizuri sana

paitonelia
Автор

Vle bado August 2024 bado na View hili song like here ❤❤❤ maua yake kwa king kiba the boss

PollyShop-pvnn
Автор

My favorite song!
“ Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tama nazizuia
Oh my love…”

DeoreMusic
Автор

Only King forever umeniliza sana bro wewe ndo mtu pekee unaenifanya niipende nchiyangu Tz najivunia kua nautaifa🇹🇿 mmoja nawewe 😭😭😭nalia kwautamu wa wimbo nasauti nzuri

josephsalum
Автор

My best lines😍 nilifosi kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa, sasa napewa amani mapenzi yaso na mipaka ananiganda huku mabegani ananishika na hapa, masaji mgongoni yananilevya makopa.... OMG i love that part. King keep bringing more❤️❤️❤️

kunguricomedian
Автор

nakupenda bure Ali....keep the fire 🔥 burning 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

josephineminayo
Автор

Alikiba anadeserve kila faida ya Keki la taifa hili..umepambana sana na mziki wetu Bro still kuna watu hawataki kuonyesha respect..Shoutout kwa Harmonize na plz kubali kuimba hii ngoma kwenye wedding day yake😂😊We love you KING 👑

delimachesa
Автор

King 👑 umetisha sana Allah akupe maisha marefu tuzidi kupata mziki mzuli Only one King imeonekan🙏👑👊

augustinecharamo
Автор

Your Nigeria fans 🇳🇬🇳🇬🇳🇬 love your music, keep it moving.

ezesamson
Автор

This song is also a very huge message to our African ladies .. kuweni na UTU na UTULIVU we African men tunakutana na mengi sana in thia world ni jukumu lako ewe mwanamke unaesoma hii comment kua mfano bora na sio kufata mikumbo! A great Woman is always appreciated ( kwa mwenye KUJIELEWA ) as well as a great Man

ShaibRSudi
Автор

Mziki mzuri unajitangaza wenyewe Bonge moja la Ngoma Aswa kwa kipindi hiki cha VALENTINE ❤❤❤💖💖💖

franklaurent