Lady Jaydee - NURU (Official Audio)

preview_player
Показать описание
#LadyJaydee#nuru
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amazing song nipe like Kama unasikiliza wimbo huu 2021

lilianlaizer
Автор

Dah hii nyimbo inanikumbusha mbali sn. Ahsante sn Jaydee❤❤❤

MariamSheck
Автор

Ngoma Kali sana ambaye kaikumbuka Kama mm twende sawa

erickwilliam
Автор

13 years ago the song was played in my wedding! So wonderful

emmanuelsule
Автор

Wimbo ninao utegemea Kuucheza kwenye harusi yangu 2023 nikiwa Na Tina wangu. Nakupenda Sana mtoto wa mama mkwe

mcchilo
Автор

What a song to remember…one of the best by Jideeee🔥🔥🔥🙏

mujunit
Автор

Asante Sana Jd kwa wimbo mzuri yapata Sasa miaka 18 iliyopita 2/12/2006 Wimbo tuliongia nao kwenye ukumbi siku ya ndoa CHUKUA MAUA Yako

priscillatumwesige
Автор

nahc Amani moyon jus listening to this song❤️

evanceernest
Автор

Nuru ya kweli...penzi la kweli...Mungu you Kati yetu.together forever...2021 Feb still listening...

mirumbeleonard
Автор

Kama kuna wimbo naupenda ni huu cjui ata nisemeje yaan huu na machoz ya furaha ni nyimbo napenda kuliko nyimbo zote za bongo

graciouskazimoto
Автор

Ok imeivaa mwangu pamoja kaza sana2 usiwe mwenye kukata taamaa

obbigerally
Автор

Nyimbo nishapata… bdo mtoto wa mtu tu atangaze nia 😂🔥🔥

naylacecil
Автор

Wimbo uko Bomba, , , , una mafundisho. Mwenye wimbo Yuko vzuri. Nakumbuka nilianza kukufatilia baada ya kuckia huu wimbo. Uliingia moyoni Sana. Had nikakupenda

florencemakaranga
Автор

Kuna nyimbo ila hii inafeelings inakushika...ahsante jay dee

albertchuwa
Автор

Queen of Bongo flava...heil to the legendary Lady Jay Dee

emfamily
Автор

Malkia wa bongo freva mi naona mda mzuri kwa wasanii wa kike kupata ushauri wanafikaje ulipo na wajue changamoto

geofreybarama
Автор

This is one of the songs i love the most, wherever i hear this song i feel like all world is mine.Dada hapa uliimba

denisshanyangi
Автор

Still love this one... The coolness in it speaks volumes and makes my day

mabvutobanda
Автор

My best song ever nafurahia tu kuuskia🥰🥰

evalinemungulu
Автор

Umebarikiwa sauti na wimbo una mafundisho

deotarimo