Lady JayDee - Historia (Official Video)

preview_player
Показать описание
#Historia #LadyJayDee
Lady Jaydee.

+For More Information Booking Lady JayDee :

Follow Lady Jaydee on:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mko wapi wa 2024 unakubaline kuwa historia

mariamgedi
Автор

Waliokuja baada ya clip ya afande kurudia ...gonga like😅

happinessjulius
Автор

Mpo wenzangu 2023 usikubali kuwa history kabla siku Yako hajafika best song

fatoma-gosu
Автор

Dadang Nakupenda saaana....Nkipata pesa ntatamani uimbe kwa birthday yang hata cku moja .... This is my dream inshallah it will going to be true Amen

gatimarwa
Автор

Tuliokuja hapa baada ya afande tujuane😊

eliampagike
Автор

Lady Jaycee babangu alikuwa anakuiubali nyimbo Yako ikiimbwa hataki mtu aongee Mpka uishe Asante Jide

annasengenge
Автор

Video ya afande imenileta huku, ahsante sana afande

leonidacedavid
Автор

Nimepata somo. Uishi milele lady jay dee uzid kutuelemisha

dominickmwale
Автор

Nimekuja hapa baada ya afande kuimba huu wimbo😅😅😅😅

henriettenkuba
Автор

Ase acha nitengeneze life bata zipooogoo tu imagine shisha zipogo tangu zamni

AbubakariMtitu
Автор

Kwa hakika historia yako itakuwa ni mazuri au mabaya uliyofikia. 👍

amourmtungo
Автор

Your songs should be taught in schools Jide, , Much love for you🖤♥️🙏🙌🕯️

rushboyofficial
Автор

Nimekuja kusikiliza hili jimbo baada ya Afande kutukumbusha😂😂😂

barikishayo
Автор

Hakika utaacha historia kwa jumbe hizi, , Asante 🙏

tangataunyake
Автор

Straight to my archives. I'll be listening to this my entire life

jacksonrobi
Автор

Wewe dada ukiimba mm nanunua cd najua hukoseagi

mcmeja
Автор

Naisikiliza daily... asante Judith kwa ujumbe mzuri

RioIpo
Автор

Big up sana Commando Jide wishing u all the best, SALUTE to Afande

rashidsaid
Автор

Oyaaaa! Disemba 6, 2023. Sikubali kuwa historia.

barakabundala
Автор

Commando jide napenda sana kulisikiliza song zako kama hii hostoria ni 🔥 inaishi milele

officialmwabambatv