GADNER ambana LADY JAYDEE aeleze sababu ya ndoa yao kuvunjika, ajibiwa

preview_player
Показать описание

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tulorudia hii baada ya kifo chake jmn😢 tugongee like

NataliaKenny-vbos
Автор

Wana moyo wa kipekee hasa ka Gadner ana moyo sana

ThembelihleWilbert-duhg
Автор

Sema gadna nahisi anajuta kuachana na lady jaydee coz jide ni mwanamke flani ivi anamambo mengi yani anajituma sana mwamba sijui aliferi wapi kwenda kuangaika na madanga ya mjini😢😢😢😢

hassanguzo
Автор

Kwanza me sipendi hiz habar za et warudiane wasirudiane kila mtu aende kivyake😂😂😂😂

denismasele
Автор

Nawaombea sana warudiane wawe kama zamani. Kwanza walikua wanaonyesha jinsi Gani wanavyo pendana. Kiukweli natamani warudiane hata sasa hivi

sheilahsagamiko-ylzz
Автор

Naombs warudiane tu ndiyo mapenzi yatanoga

edsonnelson
Автор

Watarudiana muda si mrefu maana wanaonekana kutegeana!

johnmwasilu
Автор

Mim sina ex ambae nina kinyongo nae yaan twabonga frshe tuu..kuachana sio vita

mackysuphian
Автор

Jide na Dadner waliachana kwa amani
Sasa wengi huachana kwa ugomvi mkubwa na maneno machungu ya dharau na kejeli

wennybarny
Автор

Dah! hadi naumia mimi kwanini waliachana.

saumusalimuhassan
Автор

Mimi tukikaa ivoo nimwanzo wakurudisha penzii let

allymtunge
Автор

Jay dee 😂 anaonekana alirudi napeanyingi zaviatu nyingine alimpa tid 😂

DM_
Автор

Daah Dunia hii ina mambo mengi kweli😂😂

MrTop-wjno
Автор

Hawa watu bado wanaendelea kunyanduana😀😀😀😀

engribertinnocent
Автор

Ex wangu nikimpa zawadi atasema namtaka na ninamuomba turudiane kumbe sitaki hata kumuona popote duniani

wennybarny
Автор

Sirudiagi makabichi mm jaman nikiacha nimeacha

JudithRaphael-pwgd
Автор

Nachoweza kumwambia lady jeidy hakuna mwanaume Malaya hata siku Moja. Wamalaya ni wanawake kwanini naongea hivi. Mwanaume yoyote ukimuonyesha meno naukajilegeza atapita nawewe lakini ukimkazia hawezi kukubaka. Kwahiyo ledy jeyd alimuonea sana gadna wanawake wenyewe ndio walikuwa vishawishi hakuwabaka kabisa kijana wawatu walikua wanajiresi wenyewe

sheilahsagamiko-ylzz
Автор

*Jide ni kama dume kwa tabia na muonekano, hakuna mwanaume anayeoa dume na kudumu nalo.*

giant