Lady Jaydee - Siri Yangu (Official Audio) SMS SKIZA 7916634 to 811

preview_player
Показать описание
#ladyjaydee #siriyangu
Sms 8613479 to 15577 Vodacom Tz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

She is the queen of bongo. No one will ever match her. Nakupenda sana Jay Dee.

MoyiSanJose-egnr
Автор

Tega sikio makini nikueleze ... Hakuna tamu penzi la milele ... Muda unaenda mwenzenu mm nagundua 🎉🎉🎉🎉siwez sema kuwa sitapenda Tena...moyoni najua ninalo penzi la milele ❤

idbulwx
Автор

Popote ulipo gonga like na mpe maua yake producer wa hii ngoma mtu wa kazi Mikka Mwamba🎉

paulmboje
Автор

Aliyekupigia bass guitar 🎸 aiseee ni Habari nyingine

waridypeter
Автор

Woow Just time listened to this song Soko Matola, Mpanda nikiwa na miaka 10, 2004. Leo tena nauskiliza nikiwa New York Marekani mtu mzima na Family yangu. Thanks Jide

theinsider
Автор

Enzi hizo nabarehe halafu huu wimbo unatoka ndani ya album tape ya machozi. I had my first love hiki kipindi 2003 halafu akanitenda. Huu wimbo siwez elezea ulivyonibeba hicho kipindi

joshuamwasuluka
Автор

Who is here with me 2020nice song ✍️🤦‍♀️😘

kaundamalale
Автор

Huyu ndie binti machozi tunaemjua sisi toka enzi za mkoloni mpaka sasa ajawahi kuchuja kwenye game.

frankdanford
Автор

For 16 years I have been searching for this song. Thank God I found it🙏🏿

rwegongarambe
Автор

Safi Binti Machozi! Tuwekee nyingine nyingi tu za enzi humu humu

johansenbashange
Автор

This is my best hit from you, it reminds me of East African TV in 2003. Greetings from Uganda.

andrewrukundokyakabale
Автор

Midundo na sauti no safi, ujumbe mwanana!!

tomnaikara
Автор

November 2023 gem reminds me of lower primary times😢

Hassan_vids
Автор

Huu wimbo ipo siku utakuwa bonge la hit

orokogideon
Автор

Bass guitar 🎸 inanipa goosebumps uwiiii

waridypeter
Автор

Good Music We Use To Dedivate Our X, Sio hizi za kina Mariooo kurudiana na x bora kufa.

ernestpaul
Автор

Nakupenda bule dada Judith. Kuanzia album yako ya mwazo hadi sasa your still my favorite female singer in East Africa. Imana ikuzigame ningali nategemea mengi mazuri kutoka kwako dada

ahishakiyeerick
Автор

2023 baby, Jamming to this jawn like it just dropped.

igbolady
Автор

Naitazama 2020 kama naww Upo like tuende pamoja

mohamedkigwehe
Автор

Dear Lady Jay, ninakumbuka hii nyimbo katika miaka ya ngu ya ujana, ninakupenda sana na nyimbo zote zako, lakini hii ni exception

mujawumuremyivirginie