Je Kipimo Cha Mkojo Kinaweza Kuwa Negative KWA Mjamzito? | Mjamzito Kipimo Kusema Huna Mimba!

preview_player
Показать описание
Mimba ipo kipimo kusoma negative, Kipimo Cha Mimba Cha Kinaonesha lini,Kipimo Cha Mimba Cha husoma lini,Kipimo Cha Mimba Mwanzoni,Mstari Moja Kufifia je ni Mimba,Kipimo Cha Mimba Cha Mkojo,Kipimo Cha Mimba Kutoonesha Mimba,Kipimo Cha Mimba Cha Mkojo wa ahsubuhi na Dr.Mwanyika

Bonyeza link hii hapa chini ili kusubscribe channel hii

Je Dalili gani za Mtoto kugeuka Tumboni mwa Mjamzito

Je Kupima Mimba ni Mkojo wa ahsubuhi tu?

Dalili za mimba kwa baba kijacho

Je Njaa kali kwa Mjamzito na katika kipindi cha Ujauzito husababishwa na Nini?

Je maumivu Ukeni kwa Mjamzito husababishwa na Nini?

Jinsi ya kugeuka na kulala kitandani Mjamzito mwenye Tumbo kubwa Sana au Mimba kuanzia miezi mitano na zaidi.

Je Sababu gani hupelekea Mjamzito kuchoka sana katika kipindi cha Ujauzito.

Je Mjamzito anaruhusiwa kula PILIPILI au PILIPILI huwa na madhara kwa mjamzito?

Je vihatarishi vipi hupelekea Mjamzito kuwahi kujifungua kabla ya wakati

Je sababu gani hupelekea kuchelewa kujifungua kwa Mjamzito? Bonyeza link hii hapa 👇👇👇👇

Kwa nini Mimba ya kiume Mjamzito huchelewa kujifungua? sikiliza 👇👇

Jinsi ya kupata Mtoto wa jinsia unayotaka;

Dalili za Mimba ya jinsia ya kiume bonyeza link hapa.

Mjamzito mwenye Damu group O na mume mwenye group A au B mimba huweza kuharibika pia?

Je madhara ya kuchelewa kujifungua ni yapi? bonyeza link hapa!

Sababu zinazipelekea Mtoto kucheza sana Tumboni mwa Mjamzito.

Fanya hivi ili kupata usingizi wa kutosha ktk kipindi cha Ujauzito

Sababu za Mtoto kupunguza kucheza au kuacha cheza Tumboni

Faida ya Asali kwa Mjamzito bonyeza link hii

Unaweza kujifunza masomo kupitia Instagram

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

#KipimoChaMimba
#Drmwanyika
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

❤ kweli Dr na mimba ya miez Saba Sasa nilipima Ikaonsha Sina mimba nikatoa kipimo nikakihifadh kwenye pochi ndani ya wiki natoa vitu kwenye pochi nikakiangalia Tena nikashangaaa mistar miwili wamama tuwe na utulivu kwenye upimaji

catherinekiwipa
Автор

Naomba niende nje ya maada, , , naomba kujua Nini kinasababisha kutokungia kwa siku zako mpaka miez mitatu hujaona cku zako Ni ugonjwa au Ni nini

GetrudaLaurent-ynrx
Автор

Mi doctor nina mimba ya miez 3 lkn nakua najaa mara kwa mara naweza kua na tatizo

AshuraMjungu
Автор

Mm dota sioni ezi na nina isi dalili za kuigiya lakini azitoki shid nn na nina miez3 sasa

ElizaKweka-qw
Автор

Kuna ambao wanaweza pata majibu baada ya mwezi yani kuanzia week 4 au majibu ni kuanzia week 2

DabylinahKeheta
Автор

Asante dokta, mm mjamzito wa miez3 ila naenda hedhi damu nyepesi kdg hakaf ck2 inakata, je ni kawaida au kuna tatzo???

SelinaMayunga
Автор

Samahani Sana Mimi nimepima ikatokea mistali miwili saw na nakumbuka mwezi wa nne nikipima ikatokea mistali miwili kama nilivyo pima Leo alafu mwisho wasiku nikaingia period yani hata silewi

MickieCharles
Автор

Doctor mimi nina mimba ya miezi tisa je mtoto kucheza upande wa kulia muda mrefu je ni dalili ya mtoto wa kiume

shaniaissa
Автор

Dr.habari mm ni mjamzito wa miezi 2 na nusu lkn nliporudi tn spitali nikapima tn nkaambiwa cna na nkapiga utrasound hamna kitu sasa apo vipi na imeenda wapi hiyo mimba na hali yakuwa mwanzo nlivopima na kupiga utrasoud ninayo

ShemsaNassor-ei
Автор

je kuingia kwa mwanamke siku moja kwenye siku zake tatizo hiwa nini

frankjames
Автор

Dokta omoni ikiwa nying mwilini kipimo hakionyeshi kuna una mimba?😊

Debora-fp
Автор

Samahan dr mi naomba ushaur na mdogo wangu n mjamzito tatzo moja anatokwa na uchafu uken

QueenLiho
Автор

Mm nilipima mara mbili lakini 😢kikaonyesha sina mimba na naumwa chini ya kitovu sahizi miezi nne na tumbo lafura chini ya kitovu inaeza kuwa nn nasipati hedhi

LauraImbwanaLikomi
Автор

Kipimo kikionesasha mstali mmoja wa kwenye negative unakuwa na mimba au amna

JennyMamy
Автор

Je mstar ukiwa mmoja na umefifia je unakuwa tayar na mimba??

listerlujiso
Автор

Naomba kuuliza je siku yakumi nne ukipima unaweza kupata maji misitali miwili au naweza kupima siku yakumi natano ndio itoe hiyo

Annamwanauta-su
Автор

Dokta naomba unisaidie kwaushari, mimi hua ninatatizo lakushika ujauzito lakini nikipima mimba huwa haionekani baadae sana nakuja kusikia mtoto anacheza tumboni lakini dalili zamimba zote ninazisikia lakini nikipima mimba haionekani tatizo hilo limeanza kujitokeza kwenye mimba ya pili nampaka sasa ninazisikia hizo dalili kwa mda wa mwezi mzima lakini nimeshapima zaidi ya mara tatu hakuna mimba ila dalili nizamimba nisaidietafadhari

VeronicaNtali
Автор

Nilipima ujauzito msitar mmoja ulififia ila dokta akasema nina mimba ila leo nimepima usiku mwenyewe nyumbani kipimo kikaonyesha msitar mmoja je sina mimba au

StellaMaganga-tl
Автор

Doctr maziwa kujaa na ukiwa na njaa napata kichefuchefu et hiyo ni dalili ya mimba?

salimamlyuka
Автор

Doctor mie mzunguko wangu wa hedhi ni wa siku 28 niliingia period tareh30 mwez wa 1 had tareh2 mwez 2 nikamaliza period., nikakutana na mme wangu tareh 11 hadi tareh 12 sijaona siku zangu had leo na nikipima mimba unakuja mstar mmoja ila umekoza sana na kuna mda nahis kichefuchefu, mwili unachoka je naweza nikawa na mimba?

JanethAlexander-oj