je? ni baada ya siku ngapi kupita inatakiwa upime mkojo UPT kupata majibu sahihi ya Ujauzito#afya

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mm nina wk kuanzia nikutane na mwenzang nimepima imetoka mistar miwili je ni ya wk au

SamaraduMdoe
Автор

Dada me nilikutana na mwenzangu 1 tarehe 16 huwanaingia kwenye siku zangu lakini naona tarehe 16 imefika sioni dalili yeyote yakuingia period please msaada wako

SalomeMsukwa
Автор

Samahani kupima kipimo cha mkojo n lini

sharifachaurembo-oe
Автор

dr na mfn nikakutan na mwanaum 16, 17, 18, izi talee inabd nipim talee ngap nijue kam nina mimba au sn

SerevanaMsyaliha
Автор

Samahani mm naomba kuuliza mm Luna muda nahisi kichefuchefu na tumbo nahis kama mna vitu vina tembeya tatizo nn

SalmaYahya-lssx
Автор

Mm doctor tumbo linauma sana, , kiuno kinauma, , mgongo nao lakn kdg, , uchovu mwingi, , mapingo ya moyo yapo kas, , najisikia vibaya saiv week imeisha, , tarehe niliyokuwa natarajia kuingia period sijaingia lakn napima mimba inaonyesha negative tu, , , yaan hata sielew

GetrudaAndrea-nyku
Автор

Samahan dada mimi nmeingia period sku zilizopita kama wiki moja na nusu imepita lakini tena leo tu nashangaa naingia period na ninapata maumivu ya tumbo na mgongo lakini napima naona mstari mmoja tu uliokolea

JESCASONGOLO
Автор

Habari samahan me niliona period tareh31 mwez wa3 lakin nikakutan na mwanaume tareh12 na 16 lakin nikipima sioni ikionyesha mistar2 inaonyesha mmoja

PreciousprettyJaydan
Автор

Kuanzia sasa nikatulize komwe langu toka siku nne napimaa sipat majib kumbe ni kiherehele

AgnesJeremiah-udwd
Автор

Navipi kionesha positive na ukiwa nimewah

SharokiWebo
Автор

Nilipata period 15..na nikamaliza19 nilikuwa nimemaliza kabisaaa nikafanya sex 24 mpka tarehe 2 huu mwezi nauwezekano kuwa nimeshika mimba kweli

GigyMoney-zcwm
Автор

Nikweli mm dalili zote ninazo na siku zangu zimepita sijapata but nimepima mapema nimeona mstari mmoja

thumabby
Автор

Dada naomba kuuliza mimi nimeingia period tareh 4mwez wa 6 na nipo kwenye ndoa nimekutana na mume wang mara nying tu hususan siku za hatar zote tumekutana had leo hii sijaingia period je naweza kuwa na mimba?

Mwamvua-vm
Автор

Hey my dear nilipata period 24 mwez 6 na mpaka sasa sijaona please help me

shakiraally
Автор

Nilianza period 15..nikimaliza 19 nilikuwa nimemaliza ..nimefanya sex toka 24 mpk leo ..na uwezo kano wa kushika mimba

GigyMoney-zcwm
Автор

Hello dear pls naomba nisaidie no yako

kananaemmanuel
Автор

Habar! Je ni lini unatakiwa upime n kipimo kitakupa majibu sahih?

FatmaRashid-uexs
Автор

Hello dada mimi mwili wangu uwaunachoka muda wote na nasikia kichefuchefu muda wote na ninatema sana mate inaweza ikawadaririri ya mimba au

AngelinaPangawazi
Автор

Dada mimi nilitakiwa kuona siku zangu trh 7 lakn hd siv sion siku zangu na tumbo huwa linauma kwa mbali chini ya kitovu na nilipima kwa UPT ikaonesha sina ujauzito je shida ni nini....?

ashermomo
Автор

Mie doctor dalili za miamba naziona na maziwa yanawasha na kuuma na kichwa itakuwa nn sijui

AgnesKhamis
welcome to shbcf.ru