DALILI 3 ZINAZOASHIRIA KWAMBA HUWEZI KUPATA UJAUZITO

preview_player
Показать описание
Iwapo wewe ni mwanamke na unapata dalili hizi tatu, hiyo ni taa nyekundu inayoashiria kwamba wewe kupata mimba ni vigumu sana. Kwa lugha nyingine hizi kwenye video hii ni dalili za kwamba wewe hauwezi kupata ujauzito, hauwezi kushika mimba. Mwili wa binadamu ni injini iliyokamilika na kunapokuwa na tatizo hutoa ishara ili ujue kwamba kuna kitu hakiko sawa. Unapoona dalili kama vile kukosa periods, kuruka periods, kukosa ute wa mayai na dalili zingine nyingi nilizozielezea kwenye video hii ujue kabisa kuna tatizo na unahitaji msaada wa kuweza kulitatua ili mwili wako urudi kwenye hali yake ya kawaida. Pia kwenye video hii nimeelezea iwapo unapata dalili hizo ni kitu gani ufanye. Kwa maoni na ushauri wasiliana na Dr 0686527039 watsapp. Tafadhali LIKE video hii na kama hujajiunga basi SUBSCRIBE.
#Dalili3 #Mimba #Ujauzito
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Acheni bhna kutukomfyuzi me kila mwez naingia period ila tarehe tofaut na nnae watoto mapacha, ,,mengne muachieni mungu kaah

MariamLabu
Автор

Doctor me nikikitan na mwanaume Baad ya tend zile mbegu za mwanaume nkimaanish shahawa huwa zinarudi tatz ni nin doctor msaada

monicatarimo
Автор

Mie period zangu inapitiiliza siku moja...lakini sipati mimba

jamilaahmed
Автор

Docta naomba nisaidie mimi sijawahi kuuona ute kweny uke wangu

BenardVenant
Автор

Docta me nkmalza period napata Ute rangi nyeupee he naweza kupata ujauzitoo

HamadiJafari
Автор

Naomba kuuliza hivi unaweza kubeba mimba pasipo kuingia kwenye siku zako yani kama siku zako huwa huzion unawza kubeba mimba??

shadyasoud
Автор

Me nilitumia omo na nmekosa kupata mimba nitafaya aje I need your help

DianaMoruye-gs
Автор

Kubadika tarehe ni kawaida, ilimladi mzunguko upo sawa Kila mwezi 😂

lizyboss
Автор

Jee waewza Kupata Damu Yakila Mwezi Ukiwa Mjamzito

LucyGimase
Автор

Jamn mi nauliza tatizo langu naingia mala nyingi kwa mwez mmoja nikiingi period skumbi nakaa ten sku nne au tano naingia ten period je hilo ni tatizo gan

OctavebtzOctaveoctave-zdez
Автор

Subhannallah mungu ni muweza.wa yote kwa 7babu.aikuzaliwa na ugonjwa

mwamvuahamidu
Автор

Daktari mimi niko na shida ya kwanza napata dalili zote za mimba alafu napata period yangu baadae alafu damu yangu inatoka nyeusi sana shida itakuwa nini

saimatatu
Автор

Doctor samahan naswal ap je kama umeshika mimba ule Ute unatok Tena km kawaida au

lisadivernyoni
Автор

Mm nilikuwa naingia vizur na maumiv napat nikajua ni pilpl lkn xx naingia xku moj xku ya pil haitok xna je kuna xhid gn

ShamiraOmary-ce
Автор

Mimi nikipata hedhi kwamfano tar 21alafu mwez mwengine na weza kupata tar 19 je hii nihatari pia

ceciliaernest
Автор

Doctor nawez pat namb yk nikakuuliz maxwal

ShamiraOmary-ce
Автор

Toka mimba iharibike huisi maumivu chini ya kitovu na damu hazitoki kawaida je kunauwezo wa kushika ujauzito na haya maumivu huletwa na nn😢😢nijibu please 🙏🙏🙏

mwanaishasalman
Автор

Dr. Naomba msaada mzunguko wangu Ni zaidi ya cku 28 nitafanyaje ili nuweze kubeba mimba kwa uharaka?

elizabethnarodhistinampokeayes
Автор

Dokt mm nikiingia kwa siku zangu natoka ute na siku za hatari sipati ute na tareh zangu zinabadilika kila mwezi nitumie dawa gani yakupevush mayai

abdullkareemmvungi
Автор

Doctor mm napata piriod siku moja au mbil baada ya hapo haztok tna na zikitoka mara nyingi hua inaambatana na ute au hua zinatoka na utelezi mfano wa makamasi na pia dam hutoka kidogo ktk ck hizo mbili je unaeza nisaidia nijue tatizo la kuvurugika kwa piriod

FurahaLuzilo