JE SIKU YA KUPIMA MIMBA NA KUPATA MAJIBU SAHIHI IPI? | PIMA MIMBA SIKU HII BAADA YA DALILI ZA MIMBA!

preview_player
Показать описание
Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

#drmwanyika
#mamaafya
#PimaMimba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

🎉🎉🎉🎉asante doctor najifuza mengi hp ubarikiwe 🎉🎉

takyatupu
Автор

Ahsante doctor you've answer all my questions thanks

sabinamaneno
Автор

Mbona mm nimepima lakini haionekani na period haijaja jmn tangu tarehe 1 au nisubirie mpaka lini

DabylinahKeheta
Автор

Dokta nisaidie nina dalili zote za mimba na ck zimepitiliza lkn kipimo kimegoma kinasa cna tatizo nn

FadhilaIddi-ddmy
Автор

Doctor mimi hapa tangia mwez wa kumi na mbili mwaka jana nilihis nina ujauzito lakini nilienda kipima nikaambiwa sina mimba na ninaingia period mpaka leo cha kushangaza tumbo limekua kubwa na ninasikia kitu kinacheza tumboni kwangu kama mtoto lakini nikipima nakuata mstali mmoja tu na umekolea sana pia tumboni kuna mstali umeshavuka kitovuni upo juu kabisa

MathlidaJames
Автор

Dactari nmefanya tendon ya ndoa wiki mbili na sikuwa natumia chochote ata dawa lakin najaribu kupima inaleta line moja Tu yekudu inaweza kuwa tatizo na nini sababu bado cjapata period yangu

EuniceKalunda-du
Автор

Doctar period yangu ya mwisho nimeona trh 1 mwenz huu wa tatu nikamaliza trh 6 nikakutana na mr trh 15 nina dalili zote ila leo nimepima sijaona itakuwa shida nn au nimepima mapema????

HappynessModestus
Автор

Je mimba ya siku Tatu ukipima utapata jibu ju me na sikia kama mwili yang aiko Sawa na nikipimo aipatikani

caxtonndunda
Автор

Me samahani naswali nimetumia uzaz wa mpango Kwa kutumia kijiti ila nilitoa tarehe 8 mwez wa kumi na moja nimekutana na Mt wangu siku tofauti tofauti kuanzia tarehe 12, 23, 25, 1, na tarehe 3 na mpaka now sijaenda period japo kunadalili naziona ila sielew ni tarehe ngapi mimba itakua imeingia

BensonBen-rb
Автор

Doctor mimi Nina dalili zamimba lakn nimepima haipo

AngelPoul-wl
Автор

Doctor nilifanya ngono baada ya kumaliza kunyesha mwezi wa sita tarehe mbili hadi sasa hivi mwezi wa saba sijaona damu tena na ninaumwa na mgongo naumwa na tumbo chini ya kitovu changu na niko saudi arebia kwenye siwezi toka niende kumuona doctor yawezekana kua nina ujauzito au😢

brendakmusic
Автор

Doctor. Ubarikiwe. Sana. Unatuelimisha. Vinzuri. Sana. Haki. Ubarikiwe. Mimi. Mwisho. Wa hedhi. Ilikua. Tarehe 16/9/2023. Nikapima. Tarehe. 21/10/2023. Nikakuta. Teari. Nimja. Mzito. Hadisasa. Sijui. Kuhesabu. Mzukuko. Siju. Nimwezimingapi. Hadi. Sasa

ZainabuMussa-ht
Автор

Sijapata samu yangu mwezi wa kuni na moja tärehe 4.mwisho

EuniceKabibi-jy
Автор

Mimi naitwa Rosemary toka niende talehe 25/11/2024 saivi Niko mwenzi wakwaza 5/1/2025 no utakuwa Nina mimba

munguamsaidieaponegroup
Автор

Dokta nakubali sana man hua nafuatilia vipindi vyako vizuri na napenda unavyoelezea

MaryLizy-mf
Автор

Docka ivi uvutaj wa sigara kwa mwanamke inazuia huzuia kuonesha mimba ukipima

EstherLusubilo
Автор

Dr nimefanya tendo siku ya 17 baada ya hedhi nahis baadhi ya dalili za mimba kulala sana, uchovu, maumivu ya kiuno upande mmoja kichwa kuuma pamoja na chuchu lakin nikipima ni negative na ilitaakiwa hedhi nianze jana so whats problem Dr

AgnesMwakile
Автор

Habali Mimi nilipima kipimo kilionyesha mstar miwil na nilienda kwenye otrosaund wakasema Sina na nilikuwa na siku 21

lulutweve
Автор

Doctor, je ukiskia kichefuchefu ila hutapiki ni dalili ya mimba

AishaAmir-vmft
Автор

Mm nilimaliza sindano taree 8 mwez huu alaf nikakutana na mwanaume taree 11 je naweza kupata ujauzito??

HappyPallagyo