VIDEO: TAZAMA MELI KUBWA YA URUSI YATIA NANGA BANDARI YA TANGA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hawa ndio ndugu zetu Viva Russia🇷🇺 viva Tanzania🇹🇿

joshuajofrey
Автор

Safi sana mama Samia, maneno machache lakini kazi ni kubwa na yenye kuonekana. Bandari ya Tanga ni Muhimu sana kwa biashara ya nchi za Afrika Mashariki.

danielonyango
Автор

Mwenyezi zidi kumpa nguvu SSH, maana hii minyoosho sio ya kawaida, wanaosubiri kuona atashindwa dah waseme lingine, wengine hatuna la zaid ya maombi tu

ndukulusudikucho_
Автор

Marakani na Mashoga wenzake hatuwataki tumewachoka Urusi ndiye Baba lao.

emanuelchrisant
Автор

Tanzania Tanga mzuri Sana kweli nakupenda sana kweli 💖💕💖💕💖

KhalidKhan-udcz
Автор

Hawa jamaa walitusaidia bara la Africa kupata uhuru, Mungu ibarik Tanzania, Mungu ibarik Taifa la Urusi, sisi hatufungamani na yeyote, wote wakija tunawasikiliza

ndukulusudikucho_
Автор

Mama tunaomba tujiunge na BRIKIS 🙏🙏🙏huko ndio kwenye uhuru wa kweli na penye faida kwetu

rajabuissa
Автор

SAFI SANA MAMA SAMIA.
MUNGU AKUBARIKI SANAA...🤠

Jedidiah_Unit
Автор

Bado mafuta bado mafuta❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺🇷🇺

fidahusseinkassim
Автор

Safi sana ila msianze ukiritimba wa Dar es salaam

saidsuleiman
Автор

Mbona uwanja wa mkapa muhasisi anasifiwa .Vipi Sasa Yani mmeamua kumzika baba na vitu vyake. Mungu atalipa hapa hapa Duniani.Walitumia muda mwingi kujenga Uturuki hapo Mungu akafanya yake dakika tu .Uzuri wate ulikwisha . inshallah Kama tunajisaulisha basi sawa.

shabanijuma
Автор

safi sana kuona meli za Urusi zinafika Tanzania. Lakini wafaidika wa mzigo dr congo. Watanzania wanahitaji mafuta ya bei raisi toka Urusi. Serikali yetu ina policy ya kutofungamana na update wowote. Tunaitaji kufanya biashara ya mafuta na Urusi. India na China wamefaidika sana na Urusi. Tuache kupokea mikopo yenye masheriti ya kutofanya biashara na Urusi

veelmng
Автор

Magufuli ndy kajenga bandari siyo uwekezaji wa awamu ya sita

habibukitwana
Автор

Hongerani sana, kwa speed ya kupakua
Kwa muda mfupi, uchumi utakua kwa kasi.

johnrimoy
Автор

Meneja bandar Tanga ulichokiongea nimekielewa sana Aise unajua sana

lemausontz
Автор

Safi sn sisi na Urus ni ndugu
Hao mashoga wastupagie marafiki, , viva Putin 🇷🇺🇷🇺💪💪

deusisindwa
Автор

Twende Tanzania, tusipangiwe marafiki, Russia sio magaidi

nakalikyumile
Автор

Hapo mama unatakiwa uwe na msimamo Maana Tanzania Hatufungamani na upande wowote Nabado Tunamuitaji Mrusi kwaajili ya maendeleo ya Nchi yetu.

emanuelchrisant
Автор

Serikali ilete mafuta kutoka urusi n bei rahisi

yahayaallytv
Автор

Congratulations Russia, Congratulations Putin, our President.

timothymoshi