TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU

preview_player
Показать описание
Imepita miaka 107 lakini dunia imeshindwa kuhusahau usiku wa umauti, Ulikuwa usiku wa kiza kinene kwenye bahari yenye kina kirefu, bahari ya Atlantic, Ilikuwa Aprili 14 mwaka 1912 Usiku ambao meli kubwa zaidi kwenye historia ya Dunia ilizama, Meli ya Titanic
.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu jamaa anajua kusimulia aysee, , hii ajali itabaki kumbukwa saana, kama unamuelewa huyu msimuliaji like basi twende sawa@@@

azizimuhibu
Автор

SubhanaAllah ndo mipango yake Allah anakuepusha na jambo lkn bado unalazimisha....
Mpk watu wanakufa wakati wanaitengeneza manake wanapewa ishara wasifanye jambo lile.Ndo siku zote tukiepushwa na jambo lina kheri ndani yake, mfano mzuri huo hapo....
Ya rabb tuongoze waja wako. Amiin

ashney
Автор

Km unamini mungu yupo na Kila lenye kutokea ni kwa rehma zake bc Seema inalilahii wa Inna ilaihi ranjiun 😭😭😭 manaaa si jambo dogo mungu tupe mwisho mwema😢😢

wardamogan
Автор

Hii sauti amazing tumeimiss hadi nimetafuata story ya mda kidogo ili nisikilize, we miss you mtiga, mlejesheni jamaa huyu,

queenwinnie
Автор

Dah iko Njema sana story jopo kwa upande mwingine ni taku sktisha. Mungu awa pumzishe kwa aman (Amen)

shabanishabani
Автор

Mungu akupe umri mrefu professor Jamal uendelee kutoa vumbi akili zetu

dulertech
Автор

Mtangazaji ukae ukijua unapendwa na kula MTU chakufanya ungeza mautamu baba Ahsante kwa simulizi nzuri japo inackitisha bwana alitoa na bwana ametwa jina lake libarikiwe Amina

celinamgundoi
Автор

Waaaw simulizi nzuri, sauti tamuuuu, , niachieni like akii

zanabphilip
Автор

What a story!!.. jamaa anasimulia hadi raha aseee.... SIMBA KUNA CROWN ATHLETE INATAKIWA ITOLEWE KWA BRO MTIGA!!! BIG UP MWAMBA UNAWEZA SANA.. BOOM 2021

gaudencemaumba
Автор

Asante Sana kwa mwandishi na msimulizi... At least I have apiece of history this night

sheilanafulak
Автор

Great narrations brother. Titanic ilikuwa na mabalaa kabla hata haijaondoka, ikiwemo:
1. Siku chache kabla haijaondoka moto uliwaka kwenye boiler room (chumba cha makaa ya moto) ilichukuwa kama siku tatu kuuzima moto huo. Inasemekana kuwa moto uli haribu structure ya meli na ndo upande ambapo ice berg iligonga.
2. Wakati pia inaondoka meli ili sababisha wimbi kubwa ambalo lili sababisha meli kubwa ingine ya jirani ilikuwa haijafungwa vizuri ilitaka kugongana nayo ila wali manage kuzuia.
Na pia njian inasemekana walikuwa wanakutana na meli zinarudiudi zina wapigia redio kuwaambia kuwa ice bergs ni nyingi warudi, ila hawakusikiliza.
Na kampuni iliyo tengeneza Titanic "The Olympics" ilitengeneza meli mbili kubwa zingine "sister ships" za Titanic, moja ni Olympics, , ya pili ilikuwa Britanic na yatatu ni Titanic.
Olympic iligongana na meli kubwa ingine ikazama.
Britanic ilikutana na bomu la majini (sea mine) wakati wa vita, ikazama pia.
Na Titanic ndo ikagonga mwambwa na kuzama.

Wenye walisema Titanic was unsinkable, maneno yake "Not even GOD can sink it, " (Hata MUNGU hawezi zamisha meli hii)

sicac
Автор

I really empower this story ...nairudia mara ya kumi😍 thumbs up to the writer

faithmwongeli
Автор

A talent guy may God add you more years so that we enjoy your stories

brayanluswe
Автор

Nimekubali! Umeenda deep sana! Kuna vitu ndio nimevisikia hapa kuhusu hii ajali!! Big up! Kazi nzuri!!

georgeburchard
Автор

Imebidi nirudi kusikiliza tena!
Nipee like ili niendelee kurudi

dekingsforealdee
Автор

Safi sanaa we need this kind of Content 👏👌👌..upload kila week the story book its interesting

slayingtee
Автор

Good! I congratulating who documented this story. I give you 100%.

mststudio
Автор

Msimulizi uko vzuri kama vile ulishuhudia tukio zima.ahsante sana.

ibrahimmungure
Автор

.nimekukubali sana kwa kusimulia uko vizur sana agiza soda apo nalipa

focustz
Автор

Nimeipenda sana jinsi ilivyoelezewa hii story ya titanic simple and clear as well as understandable. Thank you WASAFI TV for bringing the story book show. May God bless you all.

mahirmustafa