Asante Sana: Wana SnS hawa wameshajiunga na SnS VIP Family

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ambao tuko Tanzania tunawatakia kila la kheri napatani nipate kazi kwenye recaps zenu🔥🔥🔥🔥 sending love ❤️

zahrababygarl
Автор

💚💚💚 hizi bidhaa zenu nikitaka kunulia bibi tz ana pata ndani ya muda gani? Joh

damaresi
Автор

Nataka kujiunga kilasiku na jaribu sifanikiwi naomba msaada nafanyaaje Jamaani

issataslima
Автор

Nashidwa kujiunga kaka nipo South Africa

AbdulTose
Автор

Mimi niko French Paris unaweza kujiunga

shacqybintty
Автор

Natamani kujiunga ila sielewi pesa nalipaje maana hapa sina kadi wala nini nipo pesa Tz huwa natuma money glam, Sasa hapa nitaFanyaje?? Kama yupo mtaharam anisaidie niko Omani

nickolatharwelamila
Автор

je nikijiunga mnaweza kuziprom videos zangu???

urbanqueen
Автор

Natumaje huo msaada wa mara kwa mara? Naomba simu ya Voda au Airtel nitume kwa sendwave

joycekisamo
Автор

i want to join sns vip1 bt i don't know how to pay bill... plz help 🇴🇲🇴🇲🇴🇲

saumuabdallah
Автор

Nashindwa kuji unga kaka mm niko kenya

vitalisjuma
Автор

I don't have any bank account nipe M Pessa yenu

duhuzebosco
Автор

Is it possible for Kenyans to join the membership?

Nikita_
Автор

Huku inaonyesha Rial 7.50 🤝 ntalifanyia kazi

sidrasidra
Автор

Kaka Skywalker nisha try account bank yangu ili ni join ila inakataa sema ni ta try tena mimi niko south Africa

matendobutuyu
Автор

Mimi tiyari nimeisha jiunga na sns vip 2

Alpha-nvqx
Автор

Namim nilitaka kujiunga ila nimekosa namna ni shabiki wenu pendwa nipo🇧🇮

billskeez
Автор

Mukosawa mwatuelimisha mugu wagoze kwahilo

makutanokatana
Автор

Hatuna pesa ila tunawatakia kila la heri mfanikiwe

ttt
Автор

Kwangu ina niletea QAR 7.50 per month, insha'Allah nitajoin soon

messaabbas
Автор

Nataka kujiunga ila ulichosema nyingine kwenye subscribe cijaona hilo neno ulilosema

asrymohd