filmov
tv
Watumishi Wake Baba | Traditional | St. Paul's Praise & Worship Team, UoN |wimbo wa Kwaresma
Показать описание
Watumishi wake Baba, wangapi waliopo
Wanakula na kusaza chakula chake Baba
Nami nataabika hapa, nashiriki na nguruwe
Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
Nitarudi na kusema baba yangu nisamehe
Nimekosa kwake Mungu na mbele yako baba
2. Baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma
Akakimbia kumlaki kamkumbata na busu
3.Baba yangu nimekosa ninaomba huruma
Unisamehe nirudi nikakutumikie
4. Mimi sistahili tena kuitwa mwana wako
Unifanye kama mmoja wa watumishi wako
5. Wanikaribisha mimi kwenye karamu yako
Meza imeandaliwa inaningoja mimi
6. Nasogea ninakuja ninakukimbilia
Mimi ni mtoto mpotevu baba unipokee
Heri ya pasaka! happy Easter, Bwana Yesu Amefufuka
#SautiTamu #Zilipendwa
. . .
#Mwanampotevu #Kwaresma #SautiTamu
Wimbo wa kwaresma
St. Paul's Praise and Worship Team
Catholic Students Community
University of Nairobi (UoN)
Ni wimbo maarufu zamani wa kikatoliki unaoweza tumika katika kipindi cha kwaresma (lent), wakti wa huzuni, maombolezo, matanga, mazishi, toba, kuabudu, majuto na hata wakati wa kupokea ekaristi (komunio takatifu).
Harmony iliyotumika hapa imetoka kitabu cha nyimbo cha Tumshangilie Bwana.
Related songs from Kenya Tanzania Catholic choirs include Baba yangu Ikiwa Haiwezekani, pasipo makosa mkombozi wetu, Mama pale msalabani, Asilegee Moyowe na Mwanzi Uliopondeka, Bwana kama ungehesabu maovu yetu nani angesimama, Nimekukimbilia wewe Bwana, Ataniita, Hii ni Kwaresma, Kwa Ishara ya Msalaba Tuokoe na Wakupeleka Hukumuni, Nchi Inazizima (Yuda Akarudi),
Ni ile hadithi ya mwana mpotevu - the prodigal son - the lost son.
produced by Martin Mutua Munywoki
Tazama nyimbo nyinginezo za kipindi cha kwaresma katika channel hii kama vile Asilegee Moyowe, Amin Amin Nawaambia, Watumishi wake Baba wangapi waliopo, Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama, Yesu akalia kwa sauti kubwa, Baba mikononi mwako naiweka roho yangu, Mungu wangu mbona umeniacha, Pasipo Makosa, Kwa nini wasimama mbali, nimekukimbilia wewe Bwana, na nyinginezo.
These are most popular common Catholic Lent songs, holy week songs, Good Friday Songs, Holy Thursday Songs, passion of Christ.
Tazama wimbo wa anayekula Mwili Wangu, nijaposema kwa lugha
Wasambazio na wenzao wanufaike

Комментарии