Nikupe Nini Mungu Wangu | B A Lukando | Sauti Tamu Melodies |Sadaka/Matoleo ~Skiza 7482438

preview_player
Показать описание
Nikupe nini Mungu wangu, nikupe nini we Mwokozi, nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza?
Ninakuomba Mwokozi, nifanyie msamaha na unipokee
Mema unayoyatenda, nitafanya nini mimi, nikurudishie.

Tazama pia Anayekula Mwili wako, Nijaposema kwa Lugha, one of our latest Catholic Music choir songs Kenya and Tanzania.

Waimbaji - Sauti Tamu Melodies

wimbo wa sadaka na matoleo /vipaji
Mtunzi: Basil A Lukando

Mtayarishaji: Martin Mutua Munywoki

Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, sadaka yangu kwako ee Mungu, nitakwenda mimi mwenyewe, Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe na Sala yangu na ipae mbele yako

#SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asantee sana ..Kazi zenu nzuri.. hata mkiurudia wimbo wa kale mnaufanyia haki na Audio Quality mnazingatia ndo kitu kilikosekana kwenye nyimbo nyingi za zamani
...Mungu awabariki sana

Mzeewainfo
Автор

Aaaah jamani naona mmeamua kutupa raha
Old is Gold

christianmichael
Автор

Mbarikiwe sana nasikiliza kutoka parokia ya Bikira Maria mpalizwa mbinguni Jimbo la Tunduru_Masasi huu wimbo naupenda tangu nipo mdogo

castorylai
Автор

Congratulation to you! I don't know KISWAHILI But i hear your songs and Ifeel ok! Mungu Asifiwe

josephnzayisenga
Автор

Proud to be a Malaika huimba usitafute kwingine....Sauti Tamu...

terrenceomondi
Автор

Wimbo wa zamani ila mmeurudia na mmeimba vizuri sana. Hongereni sana

constantineevarist
Автор

Lyrics

{ Nikupe nini Mungu wangu, nikupe nini we Mwokozi
Nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza } *2

Kila nitakachoshika mbona bado ni kidogo
Fadhili unazotenda kwangu mimi naogopa
Ninakuomba Mwokozi, nifanyie msamaha na unipokee
Mema unayoyatenda, nitafanya nini mimi nikurudishieNakutolea mkate toka mmea wa ngano
Nakutolea divai ni tunda la mzabibu
Ninakuomba Mwokozi . . .Mchana hata siku wewe wanisimamia
Na nikiwa safarini waniepusha ajali
Ninakuomba Mwokozi . . .Nikiwa na matatizo Bwana wanisaidia
Nikiwa kwenye majonzi Bwana unanifariji
Ninakuomba Mwokozi . . .Kama njia siioni Bwana unaniongoza
Na hata nikipotea kwako unanirudisha
Nitatoa nini mimi, kitakachokuwa sawa, na fadhili zako
Nitaimba vipi mimi, niyataje mema yote, utendayo kwangu

TomNyongesa
Автор

Sauti tamu, costumes tamu, video tamu, sura nzuri, I love everything about this video, awesome work Munywoki and the team👏👏👏👏👏

fayamina
Автор

Nyimbo zetu za enzi hizooo hazichuji .soo nice lovely voices. Thanks God am a catholic

dianamwacha
Автор

Just now came accross "sauti Tamu". Na ni tamu kweli. Beiutiful melodies. Mbarikiwe nyote.

mawaggalinoah
Автор

Nikupe nini wewe mwokozi, jameni asanteni saaana, continue uniting the world, much love and much blessings, watching from Maryland U S A

kimanijohn
Автор

Proudly Catholic. The song is inspiring and a good way to thank God for what He has done in my entire life.

dolphinewandede
Автор

Mie pia niko hapa ..wimbo mzuri mno. Mbarikiwe... Napenda sana KWAYA

lawrenceomondi
Автор

kitu kama hiyo waimbaji!!!roho yangu inafurahi sanaaa!!! weee!! good work

CAMTECHCOMMUNICATION
Автор

Proud to be a Catholic and a Choir member singing Altor, St Paul Choir Our Lady of Africa Mbuya, Uganda. I enjoy listening to these Angelic voices

lomindaafedraru
Автор

Mungu awabariki sana. Zamani hizo tungo zilitendewa haki kweli kweli. Hongereni sana.

nesphorysungu
Автор

Just what we needed. Hamtuangushi sauti tamu. Tutaendelea kuwaombea faraja za Mwenyezi Mungu ili muende Lee kumtumikia🙏🏽💯💯💯💯👍🏾👏🏽👏🏽❤️

doreenandcollins
Автор

These habits of disliking other people’s hard works is not good at all. Tabia mbaya sana. If u don’t like, just leave it like that.😡God is watching you.

Love u guys ❤️ 💕 💕 ... u just touch my heart with all ur songs ....keep it up God be with you all the time 💪💪💪wonderful 😍😍😍

Susanization
Автор

Imekaa poa sana nanimekumbuka mbali sana mwasalipa

alexhamiss
Автор

Oh! Hallelujah! Ahsanteni kwa Uinjilishaji Watu wa Mungu. Sauti nzuri na ubunifu wa hali ya juu.

issackchalahani