BAHARI ya AJABU ambayo HUWEZI KUZAMA (hata kama huwezi KUOGELEA)

preview_player
Показать описание
#Bahariyajabu #Bahariyachumvi #Ipmmedia BAHARI hiyo ndiyo yenye chumvi nyingi zaidi duniani , ipo chini zaidi ya usawa wa bahari, haina uhai, na watu wengine wanasema ina maji mazuri zaidi kwa afya duniani.
Tazama video hii mpaka mwisho ili ujifunze mengi zaidi kuhusiana na bahari hii ya maajabu.

Bahari ya maajabu
Bahati ya chumvi
Dead sea
Dead sea Israel
Ipm media
Elimika online
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera hata dadangu kwa mafunzo mazuri🥰❤❤napenda IPM MEDIA ✍👏❤

vanebichanga
Автор

Hongera Sana IPM MEDIA video imetulia na ina mafunzo mengi 🙏

msagati
Автор

Dah Mungu wa ajabu sana, kusema kweli nilikuwa sijui hili Leo ndo nimeongeza maarifa

halimamikinda