HII HAPA NDIYO MITO HATARI ZAIDI DUNIANI/INA VIUMBE WA AJABU NA KUTISHA

preview_player
Показать описание
Hii hapa ni list ya mito mitano hatari zaidi Duniani.

#CharlesKombe #HomeOfUntoldStories
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante kutuerezea habari nziri Kama izi ok

HenriNkurunziza
Автор

MashaAllah MashaAllah that's good

MusaShueb
Автор

Umesahau mto ruvu😂😂😂 unaongoza kwa viumbe hatari ikiwemo binadam wanakunya na kuukojolea masaa 24

rosesilio
Автор

Asante kwa habari kuhusu mito hatari duniani

IseKaph
Автор

Huku Kenya Kuna kware hatari zinazo waua watu

KimuraMosashi
Автор

Mimi ni mto Nile niliwahi kutumbukia mwaka 1979 Rhino Camp Uganda

JeremiahDaffi
Автор

Mto kagera wenye maporomoko na mamba na viboko na muunganiko wa mito 2 Ruvubu na kagera ukitumbukia pale Rusumo wote wanajua huna bahati

DavidJohn-di
Автор

Ruvubu jaman so poa ukiteleza TU pale Rusumo kiukweli huna bahati.hata mamba Wala samaki hakatizi pale

DavidJohn-di
Автор

Kwangu mm ni mto Nile ambao Kuna wanyama hatari

eriasondieki
Автор

Mto amazine toka shule ya msingi wanasema ni hatar zaid dunian

twilumbakabelege
Автор

MTO MSUA WA GWATA DALAJANI PWANI ni hatali Sana🇹🇿

yossobenayunkn