Azam FC 0-2 Simba SC | Uchambuzi goli la pili la Simba

preview_player
Показать описание
Uchambuzi wa James Samwel na Ramadhan Mbwaduke kuhusu goli la pili la Simba

Matokeo ni Azam FC 0-2 Simba SC

#NBCPremierLeague #NBCPL #LigiKuuYaNBC #SisiNiSoka #MzizimaDerby #AzamFC #SimbaSC #AzamSimba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

amanmalima
Автор

Pale kwenye goli la ngoma sio offside kwa sababu golkipa wa azam ule mpira kaucheza ingekua golkipa ule mpira hajaucheza pale ndio ingekua offside ni goli halali

jumaali
Автор

Hata mchambuzi anavyoongea unajua ameumia kweli kweli..mchambuzi ni shabiki w utopolo..hawa wachambuzi wa namna hii ndio wanatuharibia mpira...Simba ikiendelea kushinda huyu mchambuzi atakuja kupata ugonjwa wa moyo au pressure akafa masikini...mpeni maji mengi anywe...kwa taarifa yake hii Simba itashinda mwanzo mwisho..ajiandee na magonjwa kama hapendi ushindi wa Simba

knowledgeispower
Автор

M n simb lkn waamuz wanatuaribia ladh y football mpir xio uadui bhn wachezesh mpir mzur bhn kil mmoj afraie

Itsmbwambokvn
Автор

Kaka najuwa mnatetea ugari bos ili aone mnapenda tim ndio wachambz wabogo mlivyo mnachambua kwenye matukio

GaspalyFidery
Автор

WANA SIMBA KWA MOYO MKUNJUFU TUNAAMUA KULIFUTA ILO GOLI😂😂 NA YANGA NAO WALIFUTE LILE LAO LA KEN GOLD😂😂😂

GeorgeElias-po
Автор

Aya toeni hiyo BAO MOJA la Offside tushinde na point Tatu na Bao moja

bonifacemollel
Автор

Sasa hapo simpila ushapigwa wachambuzi bwana yaani jemsi samweli hapo kaumia sana kuhusu ushindi wa simba basi futeni hilo moja libaki moja

JustinMolinyo
Автор

Ubaya ubwela ndio huo sasa ukiweka moshi mi nawasha moto

MkaliZuberi-rtgb
Автор

Wamenenepeana kwauwongo 😂😂 ilonigoli alali

JosephinaLyimo
Автор

Haiwezi kuwa ofside maana mpira ulirudishwa na kipa hivyo ofside inakuwa imekufa

LaurentMasangwaNyanda
Автор

Wachambuz leo mmebolongaaa..kipa katema mnasema offside...mbona hamuelewek nyieee

MuxxaAlly
Автор

Ndo maana tff wamekataa kuweka VAR wakijua watashindwa kuibeba timu pendwa yao

allymanyika
Автор

Sio offside.

Kipa katema mpira mwenyewe tena ndani ya kumi na nane shambulizi likiendelea sasa ulitaka simba wauache 😂😂

Jerie-qc
Автор

Kikubwa point 3 ila ubaya ubwelà unaendelea 😂😂😂😂😂😂 pumzi ya Moto

FAUSTINEPOLE
Автор

Mseme na ile faulo ambayo kipa
Wa azam alirudishiwa mpira anaushika nje ya box! Au hyo hamjaiona

abuumbonde
Автор

Simba ikifungwa haija unganika je isha unganika?tujuwe mapema tu hatutaki sababu siku hiyo

ManjaHisani
Автор

Bas tutoa moja ibaki ivi 1-0 apo vp point tatu bd😅😅😅

AgneessJohn
Автор

Mi yanga lkn acheni Azam wawe wanafndshwa mpira na timu kubwa maana hawana ukubwa wa kcheza na timu hz mbili lbd wabahatishe hata wachezaji wao hkn kitu wanakotoka huwa wanacheza timu gn za ktisha

kulwastima
Автор

JAMAN OFFSID KAIUA KIPAAA..MPIRA HAUCHEZWI CHUMBANIII

MuxxaAlly