Magoli | Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League 09/02/2024

preview_player
Показать описание
Clatous Chama ameifungia Simba goli la kusawazisha dakika ya 90 na kufanya matokeo yawe ni sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza.

Katika mchezo huo mkali, Azam walitangulia kwa goli la Prince Dube dakika ya 14.
Комментарии
Автор

❤❤❤❤🎉🎉🎉 I love bola kuliko kukosa kabisa

marialiberatus-urnq
Автор

adaf jemila jiden. wahid wahid fi Al mubarat alyom عدف جميل جدا. واحد واحد في المباراة اليوم.

adimoelijahlobukuilopir
Автор

Wachezaji wanastahili Kutokea mapumziko halafu wanacheza mechi tatu ndani ya wiki moja na zote zikichezwa mkoani tena moja na timu ngumu inayogombania ubingwa lakini timu haijafungwa. Pongezi nyingi kwao, , ,

Timu inakuja vizuri sana! Inaonyesha mwelekeo mzuri sana.

jumamangombe
Автор

mtangazaji goli la Dube kasema ila la Chama kasema 😀

blessthegreat
Автор

Chemalone kazingua sana yaani pass inatolewa mpira anauacha unampita mbele hovyo hovyo mbele ya lango kweli?? Daah

MrTop-wjno
Автор

Simba hawajawai kujiuriza kwanini dube game zote awafunge yeye

InnocentCharles-iy
Автор

Azam wanastahili hata ubingwa, wakiongeza tu usiriazi kidogo ingawa siku hizi wameingia kwenye mtego wa simba na yanga

jumamangombe
Автор

Sema bado tuna mechi moja mfukon tukishinda hiyo tunakuwa tumeachana point tano na yanga any way atleast hatujafungwaa

officialYvaH
Автор

Bora ya nusu mkate kuliko kukosa kabisa

francisphilipo
Автор

Wamejitahid sana Simba mechi 3 ndan ya wik moja

Rukia-gl
Автор

Kumbe simba timu nzuri kwa watoto wenzie kina tabora akija kwa wanaume Yanga na Azam ngoma ngumu

noelsamwel
Автор

Ila jamani wabongo wanapenda football duh sio kwa lunyasi hii

Mcyoungpezuza
Автор

Nilichogundua watangazaji wengi wa Tanzania hasa wamichezo niwashaniki wa utopolo 😂😂😂😂

adolphmwangoje
Автор

Azam mnapoteza mda sana unajiitaje mkubwa alafu unapoteza mda

deogratiusgabriel
Автор

SIMBA BADO SANAA, SAIDO WA NN MBONA TUNA CHASAMBI, BARUA NA KARABAKA, che MALONE sio bekii mzurii very poor marking

franccoz
Автор

Kileleni kuna baridi jamani, wakutufikia hata bado haonekani

hamisasaid
Автор

Bahat yenu makolo dube angekuwa makini Leo mgekula 5

janethjackson
Автор

Mabao ya jion matam sana na yanatia hamasa

RahimaRahimaa-finc
Автор

Ukisema Kuna Simba Kuna chama unakosea hiyo ni kazi yake

CleverTimilai