Xouh - Rafiki (Official lyrics Audio)

preview_player
Показать описание
Official music Audio for #Rafiki by #xouh

Follow Xouh

Listen to Xouh

Xouh - Rafiki lyrics

Skia sound

Jaydrama on the beat

Nina Rafiki yangu kipenzi

Ni ndugu yangu japo sio wa tumbo moja

Tushasaidiana tena zaidi ya mara moja tunapendana kishenzi

Ananijua nami namjua

Hawezi niacha mpweke hata inyeshe mvua

Hapendi niteseke hata niumwe mafua, shida zake shida zangu

Mwanangu sio snitch

Mwanangu alivyo mbishi

Hata nifanye kosa atasema sio mimi

Mwanangu wa faida mnyamwezi, mwanangu wa faida

Mwanangu ni msela hana baya

Kumtangaza sioni haya

Ni msele kisela, mchizi kichizi hana mambo mengi

Mwanangu ni msela hana baya

Kumtangaza sioni haya

Ni msele kisela, mchizi kichizi hana mambo mengi

Tuna ndugu wasiopenda tufanikiwe

Tuna ndugu wanaotaka tuaribikiwe

Tuna ndugu tusipowasalimia hawatusalimii

Tunasaidiwa na watu wasiotujua

Marafiki zetu wamekua kama ndugu

Ndugu zetu wanasubiri waje msibani kulia. (aiyeeeeh)

Ila Mwanangu sio snitch

Mwanangu alivyo mbishi

Hata nifanye kosa atasema sio mimi

Mwanangu wa faida mnyamwezi, mwanangu wa faida

Mwanangu ni msela hana baya

Kumtangaza sioni haya

Ni msele kisela, mchizi kichizi hana mambo mengi

Mwanangu ni msela hana baya

Kumtangaza sioni haya

Ni msele kisela, mchizi kichizi hana mambo mengi

#xouh #Rafiki
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Xour unajuaa unajua unajua tena 🔥 sana more love n big up, , , 🎉🎉

BintiHamisi-lhxx
Автор

Kali ya mwak nakukubali xouh wang mm penda

AishouSamantha
Автор

Mimi ni mtoto nina miyaka 12 hila napenda nyibo zako sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

ApolinaMmandama-wd
Автор

Xouh nakupenda sana kila wimbo wako mzur sana unatrend

JELADINAMALIATABU-zn
Автор

Me pia ninarafiki yangu kipenzi Jina lake raina jamani haitarokea siku kumpata kama yeye nyimbo hii imfikie popote alipo nampenda sanaa❤❤❤🎉🎉

twaibaabdul
Автор

🥰🥰🥰 This is speciall for all mothers ndo marafiki wa kweli😍

youwhhanx
Автор

Huyu ni ndugu yangu Zaina kabisa yaniii❤❤❤

SubiraShaban
Автор

All the way From Zenji#Marashi ya Karafuuuu....❤❤🙌🙌🔥🔥🔥

tellodelucky
Автор

Sijui kwanini uyu msanii namkubar vibay mno❤❤

alexkapange
Автор

Ulichelewa nn kutoa this xouh❤❤....u kill it dr...noma sana

VannyCharlz
Автор

Yan nmependa mpk ...direct lem do challenge🎉❤

VannyCharlz