Zuchu - Napambana (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Get #Napambana Song Now 👇🏼

Video Shot & Directed By Folex

For Bookings:

Connect With Zuchu On:

#Zuchu #Music #Wasafi
Copyright ©2023 WCB Wasafi. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

zuchu apambane na mmi pia mnataka NI pambane kupata likes 😂😂 nipeni likes 👍.Kenya tumeikubali

jaystylesmusic
Автор

Tunakupenda bure hapa kenya 🇰🇪 😍 wakenya wpi likes zenyu tukisonga show some love

timooselector
Автор

Tanzania trust me 50%of the viewers are from Kenya 🇰🇪💕🇹🇿we 💜 Tanzania music Soo much ... Long live the bongo

patohpizzocomedy
Автор

I'm from Ghana and I swear I don't understand what she is saying but love the song and language. I swear swahilli is so sweet. Love from Ghana

santikasola
Автор

Zuchu unaweza na ni mbunifu pia hujakaa kinyonge Kila siku unafikiri kitu kipya nafata nyayo zako dada nakukubali sana salute kwako I love u I love you all song
(Am underground am coming soon) taratibu ndio mwendo one day ntafika huko uliko

ManBoy
Автор

Namtambua zuchu kama best artist kama unabisha piga dislike kwa comment nione

muzamilabdi
Автор

This song has reminded me the way I used to work like crazy day and nite 😭😭😭😭😭 to all strong ladies looking for the better future for their kids strong ladies hands up outside your motherland working like slaves 😢😢😢😢😢😢 lots of love from Uganda 🇺🇬 to turkey 🇹🇷

gracemuta
Автор

Kawimbo ka super woman's. Day nmekapata km na ww kamekuatract gongs like

husnahassan
Автор

Heavy Materials, Mufindi Kibaoni Scenes. Baridi ya pale Zuchu kuweza Pambana nayo kufanya Ubora wa Kazi hii. She deserve the Best!

zahirallyzorro
Автор

Wimbo mtamu ulio na mawaidha tele. Ukweli, yazungumzia changamoto mwanamke wakike anapitia karne hii. Asante sana Zuchu kwa kubenua na kutuelezea ingawa kwa ucheshi❤️

mainangeru
Автор

Hii nyimbo inanipa nguvu ya kupambana kila napoamka iitwapo Leo....🙏 Nikijikumbusha kuwa aliekula kala, zuchu your fire🔥✨, 💋

gracebasil
Автор

From 254, this lady ako lit, napenda, tumeapprove Ngoma toka Kenya, likes zazuchu jamani

presenter
Автор

i remember the time when i was in village love so much love from guinea conackry 🇬🇳

laminemisside
Автор

Wow dada zuchu napambana ni kazi kabisa ila nakubali na Allah aendelee kukupa nguvu zaidi, Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh

usumanezana
Автор

What a beautiful girl jamani zuu nakupenda San naona km nimekuona mufindi kwetu vile but all in all u did a good thing gonga like km umeangalia video more than one tyme🇹🇿🇺🇬🇿🇦

mstafalupenza
Автор

Hollywood videos mwaka wajipange..Zuchu for life...👏🦁🦁🦁

muntueric-oyty
Автор

Jamani zuchu huu wimbo una ujumbe mzito kabisa, big up sana tupambane na maisha

omarizuberi
Автор

Hakika zuchu ñi mwamba kamtoa boss wake namb moja ambapo mfupa huu ali kiba pamoja na konde wameshimdwa

edwinjohn
Автор

Naona kaamua kuwa kalisha wanaume wote

sajidseleman
Автор

WCB naikubali Ku inuwa wa sanii, naikubali iyi ngoma ya zuhura wa adjija cop 🤙🤙🤙 naipenda kutokea congo

juliasamisi
join shbcf.ru