Utapenda: ZUCHU na NANDY, LADY JAY DEE, YAMMY, ABIGAIL CHAMS, MWASITI, SHILOLE WALIVYOIMBA PAMOJA

preview_player
Показать описание
Utapenda: ZUCHU na NANDY, LADY JAY DEE, YAMMY, ABIGAIL CHAMS, MWASITI, SHILOLE WALIVYOIMBA PAMOJA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanawake wa TZ mnatisha mmewazidi wa Kenya, Hongera sana 👊👊👊👏👏👏♥️♥️❤️❤️💯💯💯💯💯much love from Kenya 🇰🇪

Dianamoses
Автор

Rosareeee my favourite loved from Kenya

juliananakwawi
Автор

Wow wow wow I wish Kenyan musician were like Tanzania musician wanagombana online but kwa ground vitu ni different thanks for this loving song

agnesvallentine
Автор

Lov Kwa wote from Kenya queen darling..Khadija REE❤

mr.k.m.l
Автор

Unforgettable song, nawapenda wote, naipenda nchi yangu Tanzania 🇹🇿🙏

kimzachyy
Автор

rosa ree is just a whole new vibe, she is so talented and creative, the best of the lot

davidshirima
Автор

Zuchu rosaree ooh may God nice voice mash Allah mumefanya vizuri wote 💚💛🔥🔥

malietamaliet
Автор

Zuchu Sauti yako dada chukua maua 🎉yako unavoimba adi nywele zinanisimama😊😊

MasoudyKamanga-mnjn
Автор

Jamani mume weza Queen darling nime furahi kuskia Sauti yako we missed you 😘 much love from Jordan 🇯🇴

munam
Автор

Mmpendeza sana yami, zuchu na nandy kaz nzuri sana mungu awape kher

AroisKingililwe-tucb
Автор

Mi nmkenya lakini ni mependezwa na vile mnaimba jamani kama umeipenda nyimbo hii gongaa like hapo❤

BriannahMariannah_
Автор

Much love from kenya🇰🇪, watanzania wajua kuimba jameni🎉😊

faithmawia
Автор

Big up sana Tz 💯♥️🥰Amubahatishi🙌🏽Vipaji Sanaaaa

Ali-gkmv
Автор

Kwakweli bila mwanamke , hakuna boma, , kizazi, jamii, na taifa❤❤❤ proud to be a mum

sheemaryam
Автор

Sauti ya zuchu ndio sauti ya hit song na ndiomana ipo kwenye chorus🎉

RYE
Автор

Ila rose Ree imeua hiyo verse yake ni kali sana ❤️❤❤

levinashirima
Автор

Kazi nzur jamani watanzania mpo vizur tunawapenda kutoka kenya❤❤yammy ❤

FatmaMo-mk
Автор

Wimbo mzur hapa nmefill maana halisi ya mwanamke kwa kuckia wimbo huu..sweet❤

samsonbuganda
Автор

Motoo motooo, am happy, nyimbo nzuri sana pongez kwa wasanii wetu

DayanaRwekiza
Автор

Lazier noma bongo la beat mix kaliii ✌️✌️✌️

MussaKitulanya-ysez