Yammi - Namchukia (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Yammi performing “Namchukia” Swahili word that Carries a simple meaning Of “I hate him/her” first Official Video from Three Hearts (Ep), the visuals Carry a message of A heartbreak caused by a person, I was once in love with and nothing has left other than Hate & Deep sorrow, from being deep in love to being blocked by Someone that once was called love of my life leaves no room for trusting in love again. Hope you enjoy this Beautiful music Video & Keep supporting my music

Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)

Listen to Yammi on Digital Streaming:

Follow Yammi on Social Media:

+For More Information Booking Yammi:

©2023 Ziiki & African Princess Label.All rights reserved.

#Yammi #ThreeHearts #Namchukia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

TEAM 254🇰🇪 tumshike mkono yammy jmn nampenda mpaka kichwa cha niuma mie mamy Allah akuongoze 🙏

mcute
Автор

Pure good music tunahitaji ngoma kali kama hizi keep it up yammi girl

husseinsaid
Автор

Tanzanians don't know how much Togo poeple we love their Music💗 On behalf of my family, my village people, my ancestors and also my wicked landlord, I approve this HIT!!💯💯🔥🔥🔥. BOOM FIRE

sammirdj
Автор

Naandika Kwa herufi kubwa "HUYU DADA ANAJUA NA ATAFIKA MBALI"
Tuseme inshallah 🤲

stranger
Автор

Mie sio shabik wa music lkn hongera uko vizur hongera sana mdogo wang

alicerobin
Автор

She’s a star already so talented anajiamini sana huyu duu nimeskiliza Tunapendezana pia ameua🔥

maximusalnono
Автор

kuimba unaweza binti usisikilize ujinga wa kina bibi levo kaza buti tu utafika

ashaali
Автор

Yaaani Huu wimbo mkali saana na shida kurudia rudia, congrats dada wapi likes zake🔥🔥🔥🔥🔥

miriammutua
Автор

Nipe like zangu hapa let's keep pushing this 🔥🔥🔥💯💯💯💯💯

antidiusdatius
Автор

Nimeshindwa kuficha ukweli hii nyimbo ina hisia flani amazing what a song 🔥🔥🔥 congratulations @Nandy for recognizing such a talent

carldebrown
Автор

Huyu dada kaweza, from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰🥰

miriammutua
Автор

True message 😭💔😭💔... When you show true love ... Unabaki kuumizwa😭😭😭💔💔🥺.... MUNGU ALIUMBA MAPENZI LAKINI INA WATU SOME ARE DIEING FOR LOVE😭😭😭😭😭

desimpoldesimpol
Автор

*I AM HERE WE LOVE YOU* This Beautiful song has a Healing, i hope my nation will get healing in future - I just stumbled on it, Thank you Yamii and God bless you 🇿🇼

Zimbabwe.
Автор

Ungekuwa ninyimbo ya mungu apa ingepitwa bila like Haya ....all the best

baya
Автор

On behalf of all tanzania living abroad in Europe we are hypnotised By you Yammi please always remember to be humble that’s what makes you shine the most ❤❤ POLAND

hairbyimistudiofryzur
Автор

On my playlist, playing it more than five times a day ...i love the vocals and message inatumika kila dakika kumbe ameniblock 😩💔

pollygakii
Автор

🔥🔥🔥🔥🔥 we ni nyuki🐝🐝🐝🐝🐝 wang'ate mi nakupenda tu we dada sijui umeniloga mi hua sipendi mamiziki ya kiswahili mbona we umeniokota kwako mi hoi sijiwezi labda wanizoe Kwa mkokoteni💕💕💕💕

sbm
Автор

Weee dada nimeanza kukujua nipo zanzibar kumbe uko moto ivoooo💯💯💯💯💯💯

amirikoshuma
Автор

The guy acted very well 👏 he is the exact character 👏

issahajithegoat
Автор

Nyimbo nzuri, nimeskia Osanam O sanam ya Bobby Deol

phelixezra