Buki, Yammy - Sio Vibaya (English Subtitled Video)

preview_player
Показать описание
#liwalonaliwe #lyricsvideo #hitsong
Shot by saixl

Produced by Foxx Made it & Crazyvibes
Available in all digital platforms
For Bookings:

Connect With Buki On:

Listen on other Platforms:

Lyrics:
Mungu atakupa na salama
Akuhifadhi na kila lenye shari
Akutunze mpenzi wangu
Ishi vema
Akuepushe madada matapeli
Liwalo na liwe sawa
Naomba niwe rafiki yako
Naomba msalimie sana
Aliyeteka moyo wako
Nilitamani niwe mie
Ila tatizo sina kipato
Haya mwenzangu na mie sawa
Huu ndo muda wako
Siyo vibaya
Mara moja moja ukanitumia meseji

Sio vibaya
Ukipata nafasi
Uje unicheki
Sio vibaya
Japo nikipiga simu
Unampa yeye anapokea
Sio vibaya
Nikituma meseji unampa yeye nachati nae

Ya zambarau
Ukaichuna rangi ukaifosi iwe nyeupe
Ukajisahau licha upendo wa dhati
Ukaniona kama kupe
Ulipanda dau shida sio ibilisi wala usimuongope
Angalau
Uniache nipumzike
Kwa maana
Unyonge wangu upole jamani ulifanya unione
Mwenzako karidhika na hali yako
Tusisumbuane
Nalishwa kambale
Utamu wa samaki
Changu wacha ninenepe
Unalia unaniigizia
Futa na namba zangu

Liwalo na liwe
Sawa
Wacha niwe adui ako
Usijisumbue wala
Mie sio nyota yako
Sikupendi ndio

Mimi sio kibonde wako
Siyo vibaya
Mara moja moja ukanitumia meseji

Sio vibaya
Ukipata nafasi
Uje unicheki
Sio vibaya
Japo nikipiga simu
Unampa yeye anapokea
Sio vibaya
Nikituma meseji unampa yeye nachati nae

Copyright ©2022 Buki ℗ TEVINCI. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sisi kama mashabiki wa nandy tumesha kupokea kwa moyo mmoja tunakupenda❤️❤️❤️💘

linnamapunda
Автор

Wimbo mzuri hauna matusi lugha nzuri ya kiswahili swadakta mashalah hongereni wote meseji tumeipokea nyimbo haichoshi kuskiliza

hidayasingano
Автор

🙋🙋🙋❤❤ Noma sana mdada nakubali kazi nzur jaman naomba like

AbdallahKombo-jq
Автор

nimefika huku kutoka tiktok.Nipo nje natazama angani nyota za ng'aa wimbo huu ukiwa maskioni

savanny_music
Автор

Daah aisee hizi nyimbo za namna hii naweza kuskiliza kila wakat, nnje ya muda wa ibada tu.

ramamabinda
Автор

Yammy my love 💞, , u really got me into my feeling.😢

trickytrenda
Автор

Nakubali sana mtoto mzuri anavyo lia kwnye nyimbo na kwnye video nimekubali hyo sauti kwli ina mapenzi ya ukwli🔥🔥🔥

nicholasmuendo
Автор

Yani kwa buki nasikia sauti mbili ya Mbosso na Aslay kwa yammi kama zuchu du nice song

tilderndegeulaya
Автор

Uaga napenda sana jinzi kiumbe huyu anavo juwa imba..wallai uko sawa

mtulivu
Автор

Yan nyimboo ipo vizurii san ina nikumbush mbalii san 😘😘😘😘

shadyashadyaamani
Автор

Nzuri sana. Naskiza kutoka Kenya, keep going.

bikoogolla
Автор

Pend san ukion mwanamk mwezio an patia mpe sifazak sifa kwake uyudd❤❤❤

NAJMAJOHN-yd
Автор

Acha ibaki historia mimi na yy love yammi na buki from Kenya 🇰🇪

AmayraShie
Автор

Hapo kweli bro Kwa wahenga wakupishi, ,,

IssaAbdillah
Автор

Dah sema unajua Sana mpaka unaboa ngoma Kali mpaka dah bax

williammohamed
Автор

Yammy whatever her name is PLEASE! make more songs.

lilyrosie
Автор

buki napenda sauti yako... though nikama ya mboso....alafu dada yammi napenda ww sana

sophiahminaro
Автор

Mi nasema tu dil de diya hai mwenyewe ataelewa

adambunduki
Автор

Wimbo mzuri sana 👌, I like the creativity...🤩
Nice Art

perusimissana
Автор

Bravo bro buki., , halafu nyie mnaoona kazi rahis fanyen yenu kama ni rahisi 😏 Mpongezeni bro amejitahidi sana.

tanveermalik