Ibraah - Usiku Mwema (Official Audio)

preview_player
Показать описание


Subscribe for more official content from Ibraah:

Follow Ibraah

Listen to Ibraah

The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 718 712 420

#Ibraah #UsikuMwema #TheKingOfNewSchool
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Baby kanitumia huu wimbo nimemsamehe kwakweli nilikua nimemuacha❤

lgfumeu
Автор

Huyu dogo anajua sema konde anafeli hajui kupromote nyimbo za mdogo wake yaani anafeli angetakiwa saizi aipromote alban yake iende fresh zen aanze na mambo yake

Sasa unaweza ukaona albam ya dogo haiendi mjini kisa yy kwasababu imezimwa na deka, fire, teqero ya reyvanny

peterndutu
Автор

Oya Basi bwana itoshe kusema umenimbia mimi

samadady
Автор

NICE SONG MY KING #CHINGA DAAAH UNYAMAAA MWINGIIII TUMEUWAAAA SANA #KONDE FOR LIFE

alymankamba
Автор

I leave this comment here so that when someone likes it I come back to check the masterpiece over and over 💯💯 #Ibraah Umetisha sanaaa

AlmaCisse
Автор

Hii Ngoma daaah!!! Yanikumbusha mbali sana

aliantomikidady
Автор

Unyama sana mtu wangu ujawh niqngusha jembe chinga 🇹🇿

Toysstoretz
Автор

Ibraah ww ni balaa daah, hiyi ngoma ni kali, kubwa sana unacho kipaji chaku imba vizuri sana

InnocentKombi
Автор

Ibraah mapenzi wewe ni file unajua mpaka unajua tena👌👌👌

elizaberthmalewa
Автор

Mze baba iyi ngoma unaweza itoleya mahari ukapewa mkee🔥🔥🔥🔥🔥watching from Burundi 🇧🇮 🇧🇮 🔥 🔥 🔥

hussennshimirimana
Автор

Najua kuna watu wataomba misamaha ma late night na hii hit ya ibraa😜😜😍😍

huddahmunny
Автор

Love from mr sammycomedien warundi tumefurahiy uyuwimbo usikumwe

mrsammyofficiel
Автор

Na kupenda sana pia my love!! 💖💕💕💖💯💯💯💯

zuleikhaahmed
Автор

bro kimya sn tuna kuku mbuka 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 fanya urudy

ericndayima
Автор

Good night Oyaa kondegang we outside 🔥🔥🇰🇪🦅

blackstone
Автор

Nakubali ibraah kazi mzuri sana🌃🌃🌃🌃🌃🌃🌃🌃🌃🌃🌃🌃

sixmelody
Автор

Watu wanaisha na fire ya zuchu uko wewe bana saut tu

msodokimsodokiothman
Автор

We missed such vibes 🤯🙌chinga umeua kila Kona 🔥

stonneke
Автор

Kazi poa ibraah napenda nyimbo zako sana

lilymumbuah
Автор

To be honest this guy is very talented artist like his Godfather konde boy jeshiii tembo 🔥✌️✌️✌️

sedjotshomba