Killy Tz x Harmonize - Ni Wewe (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Ni Wewe is a Swahili word in English means (It’s you) Ni wewe is a song talks about the love of a man who expresses his feeling to a woman he loves and how much he cares for her in every situations.

Song was produced by Hunter

Download/Stream In All Digital Platforms

Follow Killy
Twitter:
Facebook:

Listen to Killy

The official YouTube channel of Officialkilly. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call:

#Killy #Niwewe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wale ambao hatunaga team, ila tunafikaga popote kwenye mziki mzuri Tujuane kwa like 👍

jaytheboy
Автор

Kwa wnye tinaisokiliza 2024 gonga like

TanishaTanu-dixz
Автор

Mafans wa hii wimbo 2024 nyoosha mkono

zhuxqnu
Автор

Wenye tuko 2024 hapa piga like tukienda😊😊🎉

fzofrdc
Автор

Tulompenda dada alocheza na konde boy tujuane kapendeza japo old fashion 👌👍👍😍🤩🏁🏁🏁🏁🏁🏁kondegang 🎥🎬💥💥

mamukinyogoli
Автор

Gita na tarumbeta always inanikumbusha mbali
Konde Gang worldwide🔥🔥🔥🔥

generalnox
Автор

Wakenya oyeeee!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🐘🐘🐘kondee fans...piga like..vile kwanza nangojea collabo ya TEMBO NA OTILE🇰🇪🇰🇪🇰🇪we are not ni wewe

caroljoshua
Автор

Nimependa style aliyo ingia nayo harmonize kuanzia leo Mimi ni shabiki Yako number 1 gonga like Kama wewe ni familia ya konde gang

eddy
Автор

Niwewe, ngafuraiii Sana huku Kenya. Big love kondegang❤️

mchingumkalee
Автор

Jmn wanao ludialudia kusikiliza huu wimbo zaidi ya mala tatu like Apo chini maana wimbo ni mzuli balaa

estomiailomo
Автор

Njagala kuba nawe.
🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬.
All Ugandans gather up here and we appreciate our language.
Tanzanians welcome home ug and take another zari for jeshi.
🖤🖤🖤🖤🖤🖤😘

bwirenasser
Автор

Harmonaize ndio msaniij pekeee Tanzania na ndio msanii mwenye idea nying na ndo msanii aliefanya wasanii wengine waanze na wenyew kuvuma mwaka 2019.. Proud of Jeshi♥️🔥🔥

kondegangnews
Автор

Wenye kusubili wapopamoja allah. Haukuchelewa kuletwa duniani... asante mungu kwa kuleta heshima yetu wamakonde

zuluzulu
Автор

Tukiacha unafki hili nyimbo kali sanasana. Na video wameipatia kwelikweli.!! Big up sana. 🙌🏽🙌🏽🐘🐘

shokajr
Автор

Niliingoja Sana jamani more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

pringnanah
Автор

Nice video mashallah killy umetisha sana sana harmonize kazi zuri sana mashallah

baranmohamedmbashir
Автор

Nyimbo nimeiona TikTok adi nimeitafuta nimeiwashia na Brutus kabisa nisikilize vzr

FiveStar-ucec
Автор

Kenya in the building 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

samwelmorara
Автор

Much love from Malindi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

impactoelectrical
Автор

The luganda line is fire
Wakilisha baba🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Real_Star.